cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,904
- 198,558
Wewe chiwawa umekuja na I'd yako mpya, shida hujui kujificha.Asante mkuu wewe wasema mimi ni chiwawa wewe je?
Lol 😂😂😂
Wewe chiwawa umekuja na I'd yako mpya, shida hujui kujificha.Asante mkuu wewe wasema mimi ni chiwawa wewe je?
Oyaa karibu sanaWakuu .....
natafuta marafiki wa kiume na wakike hapa JF wa kushare mambo mbalimbali.
Asante!
Ni nani🤣🤣🤣🤣Wewe chiwawa umekuja na I'd yako mpya, shida hujui kujificha.
Lol 😂😂😂
😂😂😂Tena mie huwa nampandishaga sukari na bipolar yake.
Wee muache, atajisema hapa sasa hivi, tena atakuja kwa maparodi yake mengine.
😂😂😂
Huyo huyo uliyemtaja mda, ni yeye.Ni nani🤣🤣🤣🤣
Unajikataa!?Mimi siye.
Hahahaha,kapigwa ban na I'd yake😁,Huyo huyo uliyemtaja mda, ni yeye.
Lilivyo jinga, linakuja na I'd inayofanana jina na Seran, yaan halijielewi hili li chiwawa.Hahahaha,kapigwa ban na I'd yake😁,
Ni yeye.
Utapigwa mimbaMimi siye.
Asaaaaaa ahahahahante sana mkuu.,Oyaa karibu sanaView attachment 3684249
🤣🤣🤣🤣🤣@Gunner11 hajawahi kujitambua😁Lilivyo jinga, linakuja na I'd inayofanana jina na Seran, yaan halijielewi hili li chiwawa.
😂😂😂
Hayuko sawa kichwani huyu. 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣@Gunner11 hajawahi kujitambua😁
Hapa siyo facebookWakuu .....
natafuta marafiki wa kiume na wakike hapa JF wa kushare mambo mbalimbali.
Asante!
Anahitaji maombi😁Hayuko sawa kichwani huyu. 😂😂😂
Vp mbona fujo?3