Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

Asante sana Mkuu, lakini kwa sasa sipo tayari. Subiri watakuja tu wapo wengi sana mbona
Naomba michongo wa kazi au biashara... Unahitaji nini nikusaidie au tusaidiane... Nipo vizuri mambo ya kompyuta na IT kwa ujumla kama unahitaji huduma nipo ...mambo ya mitandao ya kijamii kibiashara kujitanganza nipo
 
Asante sana Mkuu, lakini kwa sasa sipo tayari. Subiri watakuja tu wapo wengi sana mbona
Una michongo gani ya kazi au biashara kwa Sasa ambayo unaweza nipa kijana hapa nipo vizuri kwenye ufundi kompyuta,mashine ,mitambo na mambo ya IT (tehama)....vipi unajishughulisha na nini?
 
Una michongo gani ya kazi au biashara kwa Sasa ambayo unaweza nipa kijana hapa nipo vizuri kwenye ufundi kompyuta,mashine ,mitambo na mambo ya IT (tehama)....vipi unajishughulisha na nini?
Bro hapa unaanza kuharibu.
Mfuate PM kama ameruhusu.
Hawezi kueleza mambo yake hapa public.
Nafikiri Chica Gee ni mtu smarty.
 
Mkuu unamichongo gani tupeane Mimi fundi PC kompyuta,mashine ,mambo ya IT(Kuunda tovuti (website),kuweka matangazo ya biashara Facebook, Instagram n.k....
Kwa Sasa Sina.
Ikitokea nitakutafuta.
Weka link ya portfolio ya kazi zako mfano website au mob App,n.k.
Ili mimi na wengine tuone ubora wa kazi zako.
 
Kwa Sasa Sina.
Ikitokea nitakutafuta.
Weka link ya portfolio ya kazi zako mfano website au mob App,n.k.
Ili mimi na wengine tuone ubora wa kazi zako.
Kuna website niliwahi unda sema mmiliki alikuja mbeleni kuweka kitu kingine....kwahiyo Sina kazi ya kuonesha...
 
Naomba michongo wa kazi au biashara... Unahitaji nini nikusaidie au tusaidiane... Nipo vizuri mambo ya kompyuta na IT kwa ujumla kama unahitaji huduma nipo ...mambo ya mitandao ya kijamii kibiashara kujitanganza nipo
Onhoo upo vizuri kwa kweli, natamani kukupa michongo ila 😁 sina hiyo michongo mkuu. Mimi mwenyewe ni jobless bado nahangaika
 
😁😁 Asante kwa kunitetea Mkuu
Lakini amenishitakia umetufungia PM.
Hii siyo haki lakini. Unavunja haki za binadamu eti!
Tuna Uhuru na haki ya kujieleza. Lakini nawe una haki ya kutukatalia maelezo yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom