Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,705
- 30,998
Akilazimisha anavunja haki za binadamu na yeye. Au sivyo?😎😎 ndiyo acha ibaki hivyo hivyo, sitaki matatizo kwa kweli
Akilazimisha anavunja haki za binadamu na yeye. Au sivyo?😎😎 ndiyo acha ibaki hivyo hivyo, sitaki matatizo kwa kweli
Ndiyo hivyo, awe mpole tuAkilazimisha anavunja haki za binadamu na yeye. Au sivyo?
Si wanasema huu mwaka wa ku-force?Ndiyo hivyo, awe mpole tu
😀😀 aisee sawaSi wanasema huu mwaka wa ku-force?
Ngoja mimi nivunje haki zako.
Naomba siku ukifungua nipate notification.