Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
337
Reaction score
308
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.

Karibu PM / Inbox nikupe namba
 
Hongera sn mkuu..
1000066461.jpg
 
Kwanza kabisa nachukua nafasi hii kulishukuru baraza la mawaziri , namshukuru Mh. Rais Dr.Samia H. Suluhu itifaki imezingatiwa .

Natumia nafasi hii kukwambia Chica Gee nakupenda naomba nikuoe
😀😀😀 daah una uhakika gani kama mimi ni Ke mkuu?
 
😀😀, aisee kwamba kila mtu ajipambanie kivyake Mkuu?
Mimi siwezi kumpambania mtu kesho aje kutunanga wote humu na kututukana hamna mwanamke mzuri kuliko wangu. Hamna jicho la kuona vikali kama mimi, n.k.
Hizo dharau sizitaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom