Kanunue philips ile ya kitambo. Usinunue za kutembeza mikononi, ni feki. Kama upo Dar, nenda aljazeera super market Mtoni kwa azizi ally, au super market yoyote kubwaNi muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana.
Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanunue philips ile ya kitambo. Usinunue za kutembeza mikononi, ni feki. Kama upo Dar, nenda aljazeera super market Mtoni kwa azizi ally, au super market yoyote kubwa
Ni vema ukataja aina IPI umekuwa ukiitumia ili usije tajiwa tena
Ya zile phillips za longtime ni boraKanunue philips ile ya kitambo. Usinunue za kutembeza mikononi, ni feki. Kama upo Dar, nenda aljazeera super market Mtoni kwa azizi ally, au super market yoyote kubwa
😂 😂 😂 😂
Kuna pasi za mtumba, mara nyengn zinakuja kama old stock, yaan iko box zake, zinaitwa "Russell Hobbs" ukipata hiyo mkuu umemaliza tatzo la kununua pasi kila sikuNimetumia Philips ila iliyeyuka control switch, nikanunua Hitachi ikaungua nikanunua aina flani ya pasi ya kutumia maji ikazingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema wewe akilala Mika anamatatizoKuna pasi za mtumba, mara nyengn zinakuja kama old stock, yaan iko box zake, zinaitwa "Russell Hobbs" ukipata hiyo mkuu umemaliza tatzo la kununua pasi kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Philips ulionunua mkuu itakuwa ni feki,ile original,utaondoka wewe yenyewe utaiacha...Nimetumia Philips ila iliyeyuka control switch, nikanunua Hitachi ikaungua nikanunua aina flani ya pasi ya kutumia maji ikazingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Philips 45000 Tsh..... genuine 0714 036595.
Siku ukiipata unijuze manake ninaihitaji.Kuna pasi za mtumba, mara nyengn zinakuja kama old stock, yaan iko box zake, zinaitwa "Russell Hobbs" ukipata hiyo mkuu umemaliza tatzo la kununua pasi kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaPhilips ulionunua mkuu itakuwa ni feki,ile original,utaondoka wewe yenyewe utaiacha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaipata wap hiyo mkuuKuna pasi za mtumba, mara nyengn zinakuja kama old stock, yaan iko box zake, zinaitwa "Russell Hobbs" ukipata hiyo mkuu umemaliza tatzo la kununua pasi kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaanzai 40,000/- kutegemeana na watts... kuna ya 2000w na ipo ya 1000w