Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

Nunua philips orginal namba 1 ni nzuri na bei ni 30000 jumla hiyo bei ya jumla.
Tena uwe makini asikupe namba 2 maana hizo philips kuna aina 4 na zinafanana zote huwezi jua.
Hiyo namba 2 wanauza 25000 jumla
Namba 3 18000 na namba 4 ni 7500 ndio hizo wamachinga wanashikaga mkononi wanakuazia 35000 elfu
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana.

Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia Philips ila iliyeyuka control switch, nikanunua Hitachi ikaungua nikanunua aina flani ya pasi ya kutumia maji ikazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua philios namba 1 bei ya jumla 30000 reja reja 35000 ni nzuri utakaa nayo hadi uichoke kitakâcho kusumbua hapo ni ile cable yake tuu ndio inajikunjaga huko baadae sena
 
Nitaipata wap hiyo mkuu
Kama unazo nipe Bei boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Pasi hiz mkuu popote ulipo, tafuta hii pasi, hapo hakuna cha Philips wala nini, hiyo ni pasi, na sio pasi tu hao jamaa vitu vyao vyote ni vizuri mno
IMG_20200216_113353.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana.

Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka mwaka 2008 nilinunua pasi aina ya Phillips mpaka sasa bado inadunda na bado mpya kabisa yaani ipo vile vile.
 
Back
Top Bottom