Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

Utajuaj kama ni number Moja au 3?
Nunua philips orginal namba 1 ni nzuri na bei ni 30000 jumla hiyo bei ya jumla.
Tena uwe makini asikupe namba 2 maana hizo philips kuna aina 4 na zinafanana zote huwezi jua.
Hiyo namba 2 wanauza 25000 jumla
Namba 3 18000 na namba 4 ni 7500 ndio hizo wamachinga wanashikaga mkononi wanakuazia 35000 elfu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina phillips yangu genuine ile ya kijivu niliinunua mwaka 2015. Bado inadunda kama mpya.

Kwanza warranty tu ilikuwa 2 years. Na nyingine niliinunua nikawapa home mwaka 2016. Hizo pasi ziko poa sana.
Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana.

Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii itakaa miaka na miaka.
HTB17OrLXuySBuNjy1zdq6xPxFXaI.jpeg
 
Hiyo phillips uliyonunua wewe ni feki. Philips og ina warranty ya 2 years. Nimeshanunua hizo pasi za philips 2 na zote mpaka leo zinadunda. moja nilinunua 2015 nyingine 2016.
Nimetumia Philips ila iliyeyuka control switch, nikanunua Hitachi ikaungua nikanunua aina flani ya pasi ya kutumia maji ikazingua

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua philips orginal namba 1 ni nzuri na bei ni 30000 jumla hiyo bei ya jumla.
Tena uwe makini asikupe namba 2 maana hizo philips kuna aina 4 na zinafanana zote huwezi jua.
Hiyo namba 2 wanauza 25000 jumla
Namba 3 18000 na namba 4 ni 7500 ndio hizo wamachinga wanashikaga mkononi wanakuazia 35000 elfu
Nakazia. Box lake lina logo ya blue ya mviringo imeandika no. 1 kama hilo pichani
1580202_philips-dry-iron-box-1000w_620x458.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Philips genuine ile ya rangi kama kijivu hutajuta!
Halafu huwezi amini. Hiyo pasi ya kijivu ya phillips ni grade ya mwisho kwenye pasi za philips lakini ndio inadunda hivyo. Najaribu kuimagine first grade yake ambayo ina rangi ya blue ikoje?

Ukiangalia kwenye box lake wameonesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu vipi hizi ambazo hazina namba ila zimeandikwa original? Ni nzuri au nitemane nazo tu
IMG_20220820_211308.jpg
 
Wakuu vipi hizi ambazo hazina namba ila zimeandikwa original? Ni nzuri au nitemane nazo tuView attachment 2330008
Angalia ni made wapi (Indonesia), angalia model namba yake (HD1172) na angalia ina voltage ngapi (220-240) na mwisho kabisa ina Watts ngapi (950-1100)

Hizo ni baadhi ya hints za pasi ya Philips original
 
Ninayo philips hawa jamaa wako vzr pass ina miaka 12 na bado iko vzr
 
Back
Top Bottom