Nasumbuliwa na panya waliokosa heshima kabisa.. Kama una paka ambaye ana roho mbaya hata kama unauza ntanunua tafadhali... Akiwa mdogo atafaa zaidi.. Nipo Dar Chang'ombe
Hii niliitumia pia wakafa wote. Inauzwa buku tu halafuKuna sumu fulani nimeisahau jina iko kama tambi za kutafunwa,ina rangi ya pink panya wanaipenda balaa ukiiweka ndani wanaitafuta wenyewe na kuila. Wakifa hawanuki.
Tahadhari: zipo feki
Hiyo nayo ni hatarishi kwa nyumba yenye watoto wadogo, nilipata kuskia ilikatiza uhai wa mtoto huko maeneo ya mbagala, tahadhari kubwa inahitajika ktk kuitumiaKuna sumu fulani nimeisahau jina iko kama tambi za kutafunwa,ina rangi ya pink panya wanaipenda balaa ukiiweka ndani wanaitafuta wenyewe na kuila. Wakifa hawanuki.
Tahadhari: zipo feki
Huyo hapo, nipe kilo 50 mkuu
Duh huyu usipompa msosi anaweza akakutafuna makende usiku. Ila mtoa mada si umetaka paka mwenye roho mbaya kamata chuma hicho
Kwa Panya wa Dar we waache tu,. Wana umoja hao ukifanya masihara huyo paka wata mnyongelea mbali.
Unamwekea mchanga kwenye chombo kisha unamwonesha na kumwambia,kanaelewaTatizo ukichukua kapaka kadogo kanakunya ndani
Ukiipata og ni nzuri mno, panya wanabaki historiaHii niliitumia pia wakafa wote. Inauzwa buku tu halafu
Yeah! Kwa watoto ni hatari maana inavutia kwa macho. Aiwekee hata uvunguni,panya wataifata wenyeweHiyo nayo ni hatarishi kwa nyumba yenye watoto wadogo, nilipata kuskia ilikatiza uhai wa mtoto huko maeneo ya mbagala, tahadhari kubwa inahitajika ktk kuitumia
Duh! Inaelekea huyo paka ni kiboko ya matatizoDuh huyu usipompa msosi anaweza akakutafuna makende usiku. Ila mtoa mada si umetaka paka mwenye roho mbaya kamata chuma hicho
Mipaka ya sikuhizi nayo ni mioga kinoma
wapenda paka wana sifa za kipekee sana. jaribu kufanya utafiti..Napenda paka ila huyu hata bure simtaki
dawa nyingine ya panya wawekee tochi kama kwenye store room, then vunja vioo vipande vipande aisee wote watakimbia maana watakuwa wakitazama wanajiona nusu nusu wanahama mji, ila wakifundua umewafanyia mchezo wanahama chumba huo mziki wake unaweza ukakuta namba ya vyeti vyako zimeliwaDawa yao ntaipata tu