wadau nahitaji nyama pori (swala, kongoni) and the likes kwa ajili ya kitoweo. kwa mwenye kujua inapopatikana kwa DSM naomba anisaidie.
nisaidie mawasiliano yao mkuu
Kwa Dar, nyama pori ya swala nenda Break Point, pale opp. Milenium Towers na town opp. Billcanas, zamani ilikuwa Posta Club.
Au nenda Carnival pale Msasani Beach siku za Ijumaa na Jumamosi!.
P.
ehe ngoja waje mkuuNyote mko sirias hii nyama inapatikana hapa mjini ?
Sasa mbona hamkusemaga mapema maana kila siku nakula ktmoto mpaka tumbo limejaa minyoo. Hapo Jolly inapatikana kuanzia saa ngapi ?
Jamaa yangu kumbuka
tumeonywa kuwa dunia imeharibika, Dar ina mchanganyiko wa watu wanaweza
kukuletea chochote, kule Mji kasoro bahari kuna jamaa alikuwa maarufu wa
kuuza hizo nyama, baada ya kuwa order zimekuwa nyingi na wanyama ni
shida kuwapata akawa anadungua wale wenye vipara karibu na mkia.