Natafuta Nyama pori kwa DSM

Natafuta Nyama pori kwa DSM

wadau nahitaji nyama pori (swala, kongoni) and the likes kwa ajili ya kitoweo. kwa mwenye kujua inapopatikana kwa DSM naomba anisaidie.

Huogopi Ebola mkuu? Natania tu!
 
wadau nahitaji nyama pori (swala, kongoni) and the likes kwa ajili ya kitoweo. kwa mwenye kujua inapopatikana kwa DSM naomba anisaidie.


panya vip kuna maeneo nayafaham wanapatikana uko...
 
Eti nini? U mean ny.a.n.i? Umenikumbusha Ludewa, hiyo ndiyo mboga yao ya kifahari kwa sasa!


Kwahiyo yule mbunge machachari mwenye msimamo mkali naye..... Hahahaaa, Ludewa = n.y.a..i, Iringa = d.o.g.i kumbe ndiyo maana majirani wameamua kugawana majina ya animals
 
Kwa Dar, nyama pori ya swala nenda Break Point, pale opp. Milenium Towers na town opp. Billcanas, zamani ilikuwa Posta Club.

Au nenda Carnival pale Msasani Beach siku za Ijumaa na Jumamosi!.

P.

Zile sio forest meat mkuu
 
Wewe naona una hamu ya kula vibudu... Okey, Nimekumbuka, kuna restaurant inaitwa Break Point huwa wanauza nyama pori...
 
umenikumbusha kuna jamaa yangu wa karibu sana somebdy kalalambe....sahv watakua kwnye kuwinda maana ndiyo msimu..kwa hiyo mtaka nyama pori jitahidi uwapate wanaokwenda winda utapata nyama safi

Angekua amewapata angeleta hii mada?
MPE connections sasa
 
Nyamapori nzuri sana kwa afya sema ndio inakuwa ishu kuipata..
Maeneo tajwa nitaanza kuyafatilia namimi niachane namafuta.
 
Nyama pori zipo nyingi ..... Hebu fafanua usijekuwa Kama wale waloacquire Ebola.
 
Back
Top Bottom