Natafuta Nyama pori kwa DSM

Natafuta Nyama pori kwa DSM

mkuu nitumie pm unipe mawasiliano na wapi pa kukupata ili asubuhi niamkie kwako

yule uliyompigia yuko porini ana winda lazima akulete nyama tu ......wewe wasiliana naye mimi kaniambia ulimpigia kwa hyo namba yako anayo mkuu
 
MILLER BAR SINZA kuna yule Jamaa aliyestaafu ATCL anakwenda kuwinda pande za Rufiji siyo vibaya ukifika pande zile.
 
Nyote mko sirias hii nyama inapatikana hapa mjini ?
Sasa mbona hamkusemaga mapema maana kila siku nakula ktmoto mpaka tumbo limejaa minyoo. Hapo Jolly inapatikana kuanzia saa ngapi ?
good intelligence skills.
 
Hahahahahahaha atapewa zile za KUTOKA Kongo nasikia zinapatika tandale
 
nenda mtaa wa lumumba gorofa la kijani kwamwulizie mtendaji wao wa kisomalia utapata hata tembo mzima.. unajisevia mwaka mzima ukiwa dar... hawa wanakushauli juu huko utapata tukilo tuwili tutatu
 
Hizo si Nyama Pori ni Mbuzi ila kuna namna wanamtengeneza wanawadanya ni nyama Pori
 
wadau mwenye uhitaji wa pofu na nyati
an check kwa 0688354089
 
wadau nahitaji nyama pori (swala, kongoni) and the likes kwa ajili ya kitoweo. kwa mwenye kujua inapopatikana kwa DSM naomba anisaidie.

Ooooh my God! Unatafuta ebola wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom