Natafuta ng'ombe "Ankole type" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta ng'ombe "Ankole type"

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHE GUEVARA-II, Oct 16, 2011.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wadu naomba mnisaidie nataka mwezi January, 2011 ninunue ng'ombe wa kati ya miezi 8-12.
  Nataka females 100 (age 8-12 months old) & males 20 (18-24 months old) - jumla 120 cattle.
  Angalia kiambatanisho kwenye uzi huu:http://www.flickr.com/photos/ilri/5096034384/(nataka ng'ombe wadogo wenye size ya hao watatu wadogo mnaowaona katika kundi)
  Naomba mniunganishe na wafugaji wa Biharamulo, Karagwe, Ngara n.k. ili niwasiliane nao, itakapofikia kipindi nataka niwakusanye wanisaidie.

  Kwa wale wanaojua, naomba pia mniambie ng'ombe kama hao wanauzwa bei gani huko (bei zao kulingana na umri nilioutaja zina-range vipi)?
  Natanguliza shukrani.
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Unataka kufugia wapi?nitakuunganisha na mtu anayeishi karibu na mnada wa hao ng'ombe ,karibu na Lake burigi
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nenda Karagwe na Ngara utapata tu
   
 4. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mkuu, nitashukuru sana!
  Nataka niwafugie Pwani - Kibaha au hata Bagamoyo katika eneo la 20-30 acres katika ZERO GRAZING. Na sitaki waje wachanganyike na hivi ving'ombe vingine vya ajabu ajabu. Nataka niwe nawavuna kila wanapozidi 150 - kila mwaka). I like them very much, tulikuwa nao zamani home, wakaisha wote. We had about 500 cows by then. Inabidi kuwafuga kwa akili, siyo ufahari kuyarundika yanakuwa mengi tu, inabidi kuwavuna, otherwise unaweza ukalia!
  Naomba namba yake ya simu.
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,813
  Trophy Points: 280
  Hongera Mkuu!

  Hapo umepata mradi wa kukutoa. Lakini uwe "serious" siyo utupiga ma-green tu humu JF! Ila mbona itakuwa kazi sana kuwaweka ng'ombe 120 kwenye zero grazing? Labda ungeniambia unataka kuanzisha small scale ranch hapo ningekuelewa. Hao Ankole mkuu ukiwachanganya na Boran wanatoka bomba sana maana utapata ng'ombe wazuri sana wa nyama.

  Wazo lako na mimi ninalo Mkuu, napingana sana na ufugaji wa kuweka mamia ya ng'ombe wenye tija hafifu. Kwetu Wasukuma hiyo ndo fahari yetu, ng'ombe 1,000 lakini maisha magumu kichizi!! Watoto hata hawaendi shule. Nakutakia mafanikio mkuu tutakuwa tunajuliana hali mara tukianza hii kitu. Mimi nataka kufugia Kigoma.
   
 6. C

  Chibingwa Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nimeshaanza kuwafuga hao Ankole, na kwa sasa ninao kama hamsini hivi na ninawachukulia mnada wa Lusahunga. Kama unahitaji waweza kunitafuta kwa namba 0767558677.
   
 7. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nataka niwe nawachezea:
  Niwe nachanganya mbegu bora ya Boran 9pure breed) na mbegu bora ya Ankole (pure breed)
  Mbegu bora ya Freishian (puer breed) na mbegu bora ya Ankole (pure breed).
  Halafu hizo products niwe nauza kwa ajili ya nyama, zingine natenga kwa ajili ya maziwa.

  Maziwa YOTE yatakayokuwa yanatokana na hawa Ankole (ambayo huwa ni kiasi kidogo sana 1- 2 litre per cow in 24 hours) itakuwa inatumika kwa kulipa wafanyakazi, chakula cha wafanyakazi na matunzo ya ng'ombe hao. Mimi faida yangu itakuwa ni kuwavuna tu kila mwaka mara moja. Nikiuza 50 cows kila mwaka sikosi 15,000,000 - 20,000,000 ambayo naweza kusomesha watoto wangu watatu na kuwawekea miradi endelevu kama mashamba yenye ukubwa wa ekari kadhaa za maembe ya kisasa kwa ajili ya kumuuzia Bakhresa (AZAM) ili na wao kutokana na exposure (through formal and informal education) yao waweze kuweka vitu vingine kama hotels, hospitals au viwanda kama watahitaji! Au wakuu haiwezekani? Japo si rahisi kiasi hicho lkn IT IS POSSIBLE!

  Kuna mzee mmoja ana ekari 300 za maembe (aliniambia ekari 1 ina uwezo wa kumpatia mkulima 15,000,000 kwa mwaka).
  Ikiwa ni 10,000,000 kila ekari na na ekari 300 (tufanye 200 out of 300 nd'o ziwe productive).
  Ina maanisha anaweza kutengeneza AT LEAST 10,000,000 x 200 = 2,000,000,000 Tshs per year!

  Everything is possible if one is patient (not a patient) and determined!
  Japo mimi labda naweza nisifanikishe hivyo kwa kipindi nilichopanga, mkiona mawazo yanalipa YOU BUY THE IDEAS
  "People can help a man think, but they can't think for him/ her!"
   
 8. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Thanx Chibingu!
  Will keep in touch (once I am ready will contact you)
  Best regards,
  Dr.Che Guevara-II
   
 9. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mkuu, naomba uniunganishe na mtu anayeishi karibu na mnada wa hao ng'ombe.
  Hadi sasa nimeshapata majina ya minada ifuatayo:
  Lusahunga. Mnada huu nilishawahi kutajiwa pia in last two years! It's absolutely correct!

  Anyone with another idea?
   
 10. BUNGE

  BUNGE Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani wadau bei ya ngombe mmoja hapa Dar ni kiasi gani, na wa aina gani wanalipa zaidi? Au kama kuna aliyewahi kufuga basi tunaomba breakdown please! Thanks
   
 11. ONTARIO

  ONTARIO JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2014
  Joined: Oct 16, 2013
  Messages: 1,901
  Likes Received: 15,331
  Trophy Points: 280

  Mkuu CHE GUEVARA-II, vipi huu mradi wa livestock keeping, ulifanikiwa?? Ni miaka mi3 imepita sasa tangu ubandike hii thread...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Danpol

  Danpol JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2014
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 1,686
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  hehehehehe umetisha

  ngoja na mie niibie
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2014
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kweli ni vyema akaleta mrejesho kama alifanikiwa ama Vp.
   
Loading...