Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 308
- 353
Wakuu poleni na kazi.
Naombeni yeyote mwenye mawasiliano yani namba za makonda naomba anisaidie naimani kupitia yeye changamoto yangu itaisha pia kama MTU anajua nitampataje please naomba anisaidie.
Kama pia yupo hapa JF please nitafurahi akinitafuta pm.naimani kupitia yeye nitapata msaada.
Asanteni sana ndugu zangu muwe na maisha mema