Natafuta Mwekezaji wa kujenga naye Apartments

smok3y

New Member
Dec 3, 2015
4
1
Natafuta mwekezaji wa kuingia nae mkataba wa kujenga apartment/office complex Dar Es Salaam.

Nina viwanja locations nzuri. Pia kuna plot available for sale.

For more information please call 0755349868/0714666171
 
Kawekeze Dodoma ndo mji unakua
Hahaha ahamishe na viwanja vyake?! Au labda viko Dodoma tayari huwezi jua.
Huu uwekezaji mgumu sana, inaweza kuwa kama Azimio na NSSF, azimio akaongeza thamani ya ardhi ajuavyo yeye NSSF wakamwaga pesa, sasa kwenye share nani anamiliki kiasi gani inaleta shida, wapo wanaodai mkataba ni mkataba, wapo wanaodai azimio ali inflate gharama za ardhi, kila kukicha hadhithi mpya.
Bora mtoe amount ya pesa sawa, mnunue ardhi mjenge kila mwanahisa ajue alitoa kiasi gani kwenye uwekezaji, hii ya ardhi kwa pesa mtagombana tu, au ufanye ujenzi mwenyewe tuje tupange, au utuuzie ardhi tujijengee zetu.
 
Ni wazo zuri sana Mkuu Ila kwa mimi ningekushauri hivi.. Andaa kila kinachohusiana na project yako ikiwa ni pamoja na Hati miliki ya maeneo husika then nenda kwenye financial Inst. washawishi kwa kutumia mpango wako wa biashara husika na viwanja vyako kama dhamana yako kwao, Wakiona kuna potential ya kupata faida lazima watawekeza au kukupa kiasi cha fedha kumudu ujenzi then utalipa pale unavyoanza kulipwa rent.
 
Ushauri mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom