Natafuta mtu wa kunisaidia marketing

Iniho

Member
Jul 3, 2018
97
66
Hello wapendwa natafuta mtu wa kunisaidia marketing niko Dar es salaam nina kampuni tumesajiliwa na tunatoa receipt za EFD tunadeal na general supplies sema kwa sasa tunasupply vegetables,Fruits,Lkn na Detergents hasa hz liquid soap au sabuni nimebase kusupply kwenye hz restaurants na hotels so nataka kuongeza wigo wa wateja, malipo yangu ni 5% ya kila sales inayofanyika. So as long nitaendelea kusuply kwa huyo customer mpya tutaendelea kulipana kwa hyo percentage.Aliye serious please inbox me nitakupigia, my number 0684753836.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom