Natafuta mwanaume wa kunioa

Ni ajira/kipato tu.Safari hii nauza hata hii simu aliyonipa mama nianze biashara kubwa tu ya kuchuuza karanga na bigi jii/jojo.
Tutaimiss kwa muda michango yako JF ukiuza hiyo simu. Ila nina wazo tofauti na kauli yako, USIUZE SIMU bali uitumie katika kuitangaza biashara yako na kukeep connections na wateja wako. Ingawa ni biashara ndogo ila ukiifanya kisasa itakutoa mkuu. Kila la kheli katika mikakati yako.
Alafu kumbuka mleta mada Sureya nae ni mfanyabiashara, why don't you try to convince her so that you can share your business ideas to reach the same goal as kigezo kimoja tu ndio kikukatishe tamaa mkuu?
Changamka bhana😊
 
Kuna wapuuzi watahoji ujana ule na wengine, uzee unataka ule na nani?
😁😁😁😁 Na ndio ukwelii ,ww kijana wa miaka 40 unapeleka wapi kibibi Cha miaka 33
Hapa kwenye 20-29 ulikataa kuolewa mara ngapi?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Alafu Leo aje ambebeshee kijana wa miaka 40 mzigo ety,,,manka atafutee helaa Kwa umri huo yeye ndio aoe mwanaume amtakaeee
 
nkikumbuka tukio nililopgwa na single faza,najikuta kukuhurumiaaaa
Huyo mlitafutana huko huko mtaani hatukuona bandiko lako la kutafuta mwerevu wa JFπŸ˜†
Naamini ukijitambua na ukiwa makini utapata mtu makini hapa ndani maana wapo wengi tu.
 
Ushauri umepokewa.Ngoja nimwambie na mama kabisa.
 
nkikumbuka tukio nililopgwa na single faza,najikuta kukuhurumiaaaa
Pole, unahitaji kuwa makini unapoanzisha mahusiano sio kila mtu ni sahihi kwako,unatafuta atakae kuvumilia mapungufu yako nawe mvumilie yake
 
dronedrake ubavu wako huu hapa changamkia fursa dogo
 
Huyo mlitafutana huko huko mtaani hatukuona bandiko lako la kutafuta mwerevu wa JFπŸ˜†
Naamini ukijitambua na ukiwa makini utapata mtu makini hapa ndani maana wapo wengi tu.
humu tena, mbona nasikia ndo kuna matatizo balaa
 
Pole, unahitaji kuwa makini unapoanzisha mahusiano sio kila mtu ni sahihi kwako,unatafuta atakae kuvumilia mapungufu yako nawe mvumilie yake
kwakweli umesema vema,ila matatzo mengine hayavumiliki ujue,,kutaka tufe wenzio πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…