Natafuta mwanaume wa kunioa

Kimefiti kabisa.Awe na huruma kwenye ajira/kipato.Kila nikitaka kuondoka kwa wazazi wananikatalia.Wananiambia mimi ningali kijana mdogo mtaani nitahangaika.Basi, ndiyo nimekaa tu hapa.Ila safari hii sikubali.Lazima nioe.
Angalia usijejikuta umetimiza 50 bado uko under your parents roof ohoo,
Au akili za kataa ndoa zimekung'ang'ania?😂😂
 
Angalia usijejikuta umetimiza 50 bado uko under your parents roof ohoo,
Au akili za kataa ndoa zimekung'ang'ania?😂😂
Ni ajira/kipato tu.Safari hii nauza hata hii simu aliyonipa mama nianze biashara kubwa tu ya kuchuuza karanga na bigi jii/jojo.
 
Mi nimetimiza vigezo vyote, ila mpaka nionje nikiridhika tuoane
 
Huu Uzi asiuone Natafuta Ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…