Natafuta mwanamke wa kuoa

hivi kumbe ni mmu nkajua nipo jukwaa la nafasi za kazi na tenda
Dada tangu naanza JF leo kwa mara ya kwanza nimekutana na hitaji la kipekee.....Hivi yule mdogo wetu aliyekataa shule darasa la 4 una taarifa zake maana tusipomshtulia hii fursa atakua mzigo kwetu baadae.
 
Ukereketwa wa haki sawa maana yake ni nini? vigezo vingine navi meet ila hiyo sijaelewa mchumba mtarajiwa?

Namaanisha kuwa asiwe muumini/ mfuasi wa haki sawa kama inavyoaminika na baadhi ya watu kwa nyakati hiz kuwa mwanamme ana haki sawa na mwamke katika mambo yote , mm naamini mwanamke na mwanamke wana haki sawa kwa baadhi ya mambo tu na siyo yote kabisa, kuna baadhi ya mambo mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanamme atabaki hivyo kutokana mungu alivyo onyesha katika maandiko mfano imeandikwa enyi wake muwa tii waume zenu kama kanisa linavyomtii kristo, na waume muwapende wake zenu. Hayo maandiko yanadokeza waz kuwa kati ya mme na mke mmoja ni kiongozi wa familia coz anayetakiwa kutii hapo ni mke, hivyo naamini katika katika kushauriana na msemaji wa mwisho juu ya maamuz ni mme, na mke atabaki kuwa mshawishi nasio muamuzi wa mwiasho. Efeso 5: 22- 25
 
Mbona kawaida tu....nna watu kibao mi nawajua kusoma wamejulia ukubwani ila ni wanasaka pesa na wamefanikiwa hadi kero

..unaifahamu elimu ya chekechekea lakini mpaka iwe kawaida.....
..kwenye red..wa ngapi kati ya wangapi mpaka iwe ni ''kawaida''
 
Rejea kichwa cha habari.
Nina umri wa miaka 29, elimu yangu ni chuo kikuu.zifuatazo ni baadhi sifa muhimu za mke naemuitaji :
1.Awe mcha Mungu ( mkristo )
2. Awe mwenye maadili ya kiafrika.
3.Awe na elimu yoyote hata kama aliishia chekechea
4.Awe mpenda maendeleo ( asiridhike tu na uhakika wa kupata chai asubui na chakula)
5. Sio lazima awe na kaz kwa sasa, awe nayo asiwe nayo sawa.hata kama amejiajiri sawa.
6.kabila lolote na rangi si muhimu
7. Asiwe mwemba, umbo la wastan
8.kama ana mtoto bahat mbaya,bas asizid mmoja kwan naamin mmoja hatanisumbua sana ktk malez
9. Umri wake kuanzia 18- 26
10. Urefu wake uwe wastan tu au zaid.
11. Asiwe mkereketwa wa haki sawa
12. Mvumillivu, mwaminifu, msiri wa mambo ya ndani.
13. Asiwe mjuaji kupitiliza (much know) , yan akubali kujifunza kutoka kwa wengine pale inapotokea kakosea.
14. Ajue wajibu wake kama mke
Hayo ni mambo ya msingi sana kwangu, nipo serious naomba sana tuweke pembeni utani ,kashfa na kejeli, kama hauna kizur cha kupost ni jambo jema kukukaa kimya waheshimiwa. Mwenye uhitaji kama wangu tuwasiliane kwa private message (PM). Yes
 
..unaifahamu elimu ya chekechekea lakini mpaka iwe kawaida.....
..kwenye red..wa ngapi kati ya wangapi mpaka iwe ni ''kawaida''

Elimu ya chekechea si yule ambaye hajaingia shule ya msingi....kuhusu hao watu mi sijawahi kuwafanyia sensa nikajua ni ngapi kwa ngapi
 
Dada tangu naanza JF leo kwa mara ya kwanza nimekutana na hitaji la kipekee.....Hivi yule mdogo wetu aliyekataa shule darasa la 4 una taarifa zake maana tusipomshtulia hii fursa atakua mzigo kwetu baadae.[/QUOTE

Mbona watu mnashangaa hivyo sana jamani, inaonekana haijawai tokea toka dunia kuumbwa nn? . Naona kwenye elimu ya chekechea hapo ndo watu wengi wanashangaa hasa kwa graduate kuandika kuwa hata chekechea ruksa, mwenzenu sioi elimu ya mtu bali naoa mtu bas, ndo mana elimu sio kipaumbele sana kwangu.hiv katika biblia mke wa adamu alikuwa na elimu? Narudia tena hivyo ndo vigezo vyangu na mm ndio ntakaeishinaye sio mtu mwingine
 
Dada tangu naanza JF leo kwa mara ya kwanza nimekutana na hitaji la kipekee.....Hivi yule mdogo wetu aliyekataa shule darasa la 4 una taarifa zake maana tusipomshtulia hii fursa atakua mzigo kwetu baadae.

Kaka unataka kuwa na shem donozege hapana bana kwanini atongozee nyuma ya keyboard
 
Elimu ya chekechea si yule ambaye hajaingia shule ya msingi....kuhusu hao watu mi sijawahi kuwafanyia sensa nikajua ni ngapi kwa ngapi

...uchache wao/wingi wao ndio itaonesha kama ni kawaida ama la...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom