Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Kaka unataka kuwa na shem donozege hapana bana kwanini atongozee nyuma ya keyboard
Kweli bana tutadhalilisha kwetu..... Haya mambo sijawahi yaona.
Kaka unataka kuwa na shem donozege hapana bana kwanini atongozee nyuma ya keyboard
Hapo bold na Adamu naye haikuandikwa alikua na elimu.Dada tangu naanza JF leo kwa mara ya kwanza nimekutana na hitaji la kipekee.....Hivi yule mdogo wetu aliyekataa shule darasa la 4 una taarifa zake maana tusipomshtulia hii fursa atakua mzigo kwetu baadae.[/QUOTE
Mbona watu mnashangaa hivyo sana jamani, inaonekana haijawai tokea toka dunia kuumbwa nn? . Naona kwenye elimu ya chekechea hapo ndo watu wengi wanashangaa hasa kwa graduate kuandika kuwa hata chekechea ruksa, mwenzenu sioi elimu ya mtu bali naoa mtu bas, ndo mana elimu sio kipaumbele sana kwangu.hiv katika biblia mke wa adamu alikuwa na elimu? Narudia tena hivyo ndo vigezo vyangu na mm ndio ntakaeishinaye sio mtu mwingine
kila la kheri...
Hapo bold na Adamu naye haikuandikwa alikua na elimu.
tumuuilize Mungu adamu na eva walikuwa na elimu au hawakuwa nayo?
Kweli ndg tuzame ktk maombi, ila sidhani kama alisoma huyu mzee maana hata mwalimu hakuwepo.
tumuuilize Mungu adamu na eva walikuwa na elimu au hawakuwa nayo?
Kweli ndg tuzame ktk maombi, ila sidhani kama alisoma huyu mzee maana hata mwalimu hakuwepo.