Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,728
- 102,539
Asisahau keupe.Naam ๐
Umewaza mbali sana mkuuMaandalizi ya kupambana na el nino!๐ Uhakika wa utelezi ndani.
Hahahahaaaa nadhani gen -z tupo tunafanya vyema sana kwenye 1 na 2Acha kunipeeleka speed mimi na huyo millennial wapi na wapi
Wee nitatafuta hata kigen zee kiibust iamke๐Au sio mjukuu, basi pambana na pre menopause, usiombe ile hormone ya kutengeneza shape ilale usingizi๐ฌ
Nipo kwneye harakati za kumchambua mchumba!๐ฅด
Kamati ya roho mbayaUnitafutie kamati, ๐ฅฑ sijui kamati gani itanifaa
Hahahahaaaa dah gen -z kwa hali hii ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuacha kubust iamkeWee nitatafuta hata kigen zee kiibust iamke
Kuwa serious basi. Usisababishe humu jukwaani nijione kama mkuu Melo ujue? ๐คNiingie mara ngapi hebu twende kwenye tembo achana na hizi mbanga๐
Si ndio kazi mliobakiza hapa ulimwenguniHahahahaaaa dah gen -z kwa hali hii ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuacha kubust iamke
Niko serious sana๐ซขKuwa serious basi. Usisababishe humu jukwaani nijione kama mkuu Melo ujue? ๐ค
Umenishindwa au huna hela๐Ah mchukue tuu mkuu, mm nmemshindwa ๐
Duh kazi ipo mnatupeleka speed sana...Si ndio kazi mliobakiza hapa ulimwenguni
Pesa ipo n ww tuuUmenishindwa au huna hela๐