Natafuta mwanamke wa kuoa

Mapenzi ya kuvumilia maisha magumu ya mtu nayo! Mkishatoboa anakuona takataka
Tatizo mahusiano mengi siku hizi watu mnaingia mkijiuliza mtafaidika nini, badala ya kujiuliza mtaongeza value ipi kwenye maisha ya mwenza

85% ya watanzania especially vijana ni the so called wenye maisha magumu, Sasa hapo mwanaume mwenye uwezo wa kukuhudumia ni upate mme wa mtu au babu Sweet16
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…