Natafuta mwanamke wa kuoa

Aweeeeee huyo babe wa kumfata na daladala tunatoboa week kweli???
Nime mkumbuka mtu, kwao walikuwa super Sana.
At first alikuwa ana kuja home na gari yao au yake😁🤣, Baadae Nika mwambia panda bajaji au boda.

Hizo pigo za kishua sizi Taki, mwanzoni alikuwa ana shangaa, ila Alipo zoea ye mwenyewe ali furahia.
 
Yaani we jamaa upo Mbeya mjini penye wanawake wengi ila umeshindwa kupata mmoja huko Hadi uje kutafuta hapa JF🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom