Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 16,757
- 42,647
Basi nikaribishe moyoni mwako, then tuendeleze huna letuTutumie za mishangazi huwaga tamu sana
Basi nikaribishe moyoni mwako, then tuendeleze huna letuTutumie za mishangazi huwaga tamu sana
Mimi nanogeshwa na wewe tu, na hii Hali ya hewa nakuahidi lazima tukate hiyo cheni hapo kiunoniNa kashanogewa
Sasa mdogo wangu umesahau mimi dadakohalafu nani una muita dogo😁, pesa ni muhimu, but don't be so obsessed by it.
Ninazo za kutosha kurequest bolt ya mtumbwi ili ufike nilipoMapenzi sio pesa ila hakikisha unazo mdogo wangu
Hizo ni akili ya kivuruge lamomy ndio anatembea nazo. Ila missy wangu Mimi hayuko obsessed na hela kabisa 😅halafu nani una muita dogo😁, pesa ni muhimu, but don't be so obsessed by it.
si mpaka kaka Analyse aseme 😂, maana hata umri nime kuacha🤣Sasa mdogo wangu umesahau mimi dadako
Request sasaNinazo za kutosha kurequest bolt ya mtumbwi ili ufike nilipo
Share nami location yako sasaRequest sasa
Wee panda daladala, yaani first time tu una taka Uber😁🤣Request sasa
Pale pale kwa siku zoteShare nami location yako sasa
Aweeeeee huyo babe wa kumfata na daladala tunatoboa week kweli???Wee panda daladala, yaani first time tu una taka Uber😁🤣
Hapa mmekutana pipa na mfunikoTena siku hiyo itaombwa na wananchi iwe ya mapumziko kitaifa.
Nime kuacha 3 yrs 😁🤣Sio kweli
ephen_ Soma alicho ambiwa mwashamba wako😁🤣Hapa mmekutana pipa na mfuniko
Sasa hapa umeanza uhuni...share location nikufate 😎Pale pale kwa siku zote
Kwann tusitoboe?Aweeeeee huyo babe wa kumfata na daladala tunatoboa week kweli???
Kata ticket kabisa airtanzania hapo 🤣Sasa hapa umeanza uhuni...share location nikufate 😎