astefaith
Member
- Nov 7, 2013
- 60
- 27
duuu ila upweke unatesa jamani NA MIMI NATAFUTA ANAYEJUA KUBEMBELEZA nisahau maumivu awe hajawahi funga ndoa. awe na mtoto 1tu kama mimi.
Mama Wa mtoto yupo wapi.:what:
duuu ila upweke unatesa jamani NA MIMI NATAFUTA ANAYEJUA KUBEMBELEZA nisahau maumivu awe hajawahi funga ndoa. awe na mtoto 1tu kama mimi.
du huyo aliyetaja mtoto wakipare kanishtua nlijua ananijua kumbe sio
jedi namnani aho. shighaki tutesolana ana nawe teta idi niwe ani
Pengine yeye ndiye atakaye kuja na baraka za kuongeza kipato tukala milo minne kwa siku....! Yaani aina ya wnawake kama hawa ndio wana waharibia wenzao wanao tafuta haki SAWA.. kwanini tusitafute tukapata tukala tunachotaka..Ila Mwana Ume atafute ule???!!
iguro ili
Nina miaka 37...Hawe ni
mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha....Anayejali na
kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha... Nina jiheshimu na
ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo...Baada ya ndoa yangu kuwa na
mgogoro nina miaka8 sijatembea na mwanamke yeyote yule.... si kwasababu
sina hamu au siwaoni....Bali ni uamuzi tu...!
Mwenye anadhani tunaweza kuendana naomba ani PM.
ANGALIZO: Mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa Mlo mmoja kwa
siku...sinywi Pombe,sivuti, wala kutumia kilevi cha haina yoyote...Hivyo
asijitokeze mwanamke anayetaka Majumba na Magari(mimi sina)..Ila
napambana ofcourse kupata maisha mazuri ingawa siku yangu haijafika
bado..!
Nina miaka 37...Hawe ni mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha....Anayejali na kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha... Nina jiheshimu na ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo...Baada ya ndoa yangu kuwa na mgogoro nina miaka8 sijatembea na mwanamke yeyote yule.... si kwasababu sina hamu au siwaoni....Bali ni uamuzi tu...!
Mwenye anadhani tunaweza kuendana naomba ani PM.
ANGALIZO: Mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa Mlo mmoja kwa siku...sinywi Pombe,sivuti, wala kutumia kilevi cha haina yoyote...Hivyo asijitokeze mwanamke anayetaka Majumba na Magari(mimi sina)..Ila napambana ofcourse kupata maisha mazuri ingawa siku yangu haijafika bado..!
upweke unatesa kuliko nyege
wanaume mkipata mke anaeridhika na hali yenu mkaanza kijichanga mnaanza kuleta vijisifa vingine oo ni mwrmbamba sana. ana kipilipili maziwa yake sio yakifuu! mmoja aliniona mi wanini akaoa duuu mmoja hivi anaishia tu kunililia oo mi ntakufa masikini. watoto wangu wataiga nini kutoka kwa mama. nkamwambia we vumilia tu utakufa masikin lakin umefaidi vitamuuuu
louis de broglie .weerree alikuwa mpenzi tu hakuwa mme ntabarikiwa kwa mwingine mi sio kituo chakupokea walio shindwa na maisha
Nimeipenda hii, yani jitu lijizururishe huku, mapenzi yamempiga vibao ndo anarudi kwa adabu....ringa bibieee....!
Pole kwa mtazamo huu jiandae dhoruba kama ya mwanzo..rejea kitabu cha mwanzo..na mwanamke atazaa kwa uchungu, mwanaume atatafuta kwa jasho. Dini,jamii na mazingira ya uumbaji umeweka mwanaume kama mtafutaji mkuu.
Rejea tena kitabu kitakatifu ...mwanamke ni msaidizi, tena kinaainisha ni kiumbe dhaifu.
Hivyo usiingie kwenye ndoa ukasema hapa ni 50-50. Kuna kusaidiana kwa hali na mali na inapendeza ila mnapokuwa wote hamna baba ana wajibu wa kuhangaika zaidi. Tena toa mawazo kabisa ya kumfanya mkeo ndio bread earner..... ukikubali haya basi ukubali na aftermath zake.
All the best mkuu.