Natafuta mwanamke mpweke

Natafuta mwanamke mpweke

Great M, kuna kitu kinatatiza yaani unataka kusema katika ndoa yako hakuna kosa ulilofanya wewe yote mabaya ni mkeo.
"it takes two to tango"
 
Last edited by a moderator:
Hakuna binadam chini ya jua aliye mkamilifu hata kidogo..Yawezekana nilimkwaza mwenzi wangu kwa namna moja au nyingine.. Lakini Nakiri itakuwa bila makusudio ya kumuumiza..Labda kwa bahati mabaya.. na nilikuwa mwepesi wa kuomba msamaha....Nasema yawezekana nilimkosea bila kukusidia( Kwasababu katika makosa ya wazi wazi sikuwahi kumtenda hata moja....( Sikuwahi kumtukana hata nyokoo,sukuwahi kumsukuma japo kwa ukucha..Ingawa alikuwa akinihamakisha kwa maneno mpaka..Ila nilikuwa nampuuza na kuondoka zangu)..Sikuwahi kumwendea kinyume...napale alipokuwa na mashaka na mienendo yangu Niliweka wazi kila kitu(Simu yangu,angeweza kuipekua hata na kukaa nayo apendavyo namimi haikuwa shida kwangu)..! Nadhani dhambi kubwa niliyomtendea tena bila kukusudia ni kutokuwa na kipato kinacholingana na hadhi yake..( maana siku zote umvi wetu ulikuwa huo,,, Kwanini hatuendelei,..Kwanini hatuwezi kununu gari kama wanaume wenzio,kwanini huwezi kujenga nyumba kama wanaume wenzio? Na ukumbuke pato langu yeye ndiye alikuwa mpangaji wa matumizi..Nini kinunuliwe nini kisinunuliwe..! Nakiri kuwa ktk upande wa kipato sikutimiza ndoto zake za Magari na majumba mazuri..Lakini nilikuwa nikijitahidi na nikimweleza kuwa avute subra..Maana tumo tunatafuta..>!
Great M, kuna kitu kinatatiza yaani unataka kusema katika ndoa yako hakuna kosa ulilofanya wewe yote mabaya ni mkeo.
"it takes two to tango"
 
yaweza kuwa hukumtenda physical action but ulifanya mambo ambayo yanamuumiza psychological hvyo akashindwa kukuelewa uvumilivu ukamshinda
 
Ukidadavua vizuri, uongo unazidi ukweli katika SREDI hii, ngoja nimuulize Mkuu Gemmy ambaye ni mjuzi ninayemwamini kwa kudadavua
 
Umeokoka mana umesema hunywi pombe wala huvuti sigara? Wala kufanya mchezo mchafu?
mimi ngono kwangu si kipaumbele hata kidogo..!( niliwahi kufanya mapenzi kwenye uteenager mara2 tu--kati ya miaka 15-25 nilipo oa...miezi sita ya mwanzo baada ya mahusiano kuvurugika nilipata shida kidogo mpaka nikajaribu punyeto kama mara 10 ndani ya miezi hiyo 6 ya mwanzo..baada ya hapo nika-stable" sijawahi fanya huo mchezo tena .. Na niko poa tu..!(kuvuta sijawahi tangu nimezaliwa).. Pombe nimewahi zile za kitoto(maana nimezaliwa kijijini na tulikuwa tunatengeza pombe za kienyeji) nadhani kwenye umri wa miaka 12 hivi ndio niacha kunywa pombe.. Na sitarajii..!
 
Pole mwaya ila ninakushauri ongea naye mkeo vizuri muulize ni kitu kimemfanya aondoke kwako na kitu gani ambacho kimemkwaza mpaka mmeachana, uenda kitakua ni kitu kidogo tu, kama atakwambia utajua namna ya kufanya ila kama la basi unabudi kuwaita wale wasimamizi wenu wa harusi ukaawashirikisha jambo hilo kisha maamuizi toka kwao yatatatua hilo tatizo lenu au nenda kwa yule aliyewafungisha ndoa mwambie na amwite mkeo awapatanishe usipende kujianika na kukimbilia hapa ili kupata msaada hautakusaidia cha kufanya kwani mmeshazaa watoto hivyo niyie kama wazazi inabidi mpatane na muwalee watoto wenu katika kicho chema cha mungu huo ndo mpango mzima bestito usitake kukurupuka na kutafuta mwanamke mwingine wa kumuoa ilihali unaye aliyewako wa mwanzo ongea naye jua ni tatizo gani kama itashindikana basi utaamua cha kufanya kuliko kuja hapa na kujieleza maneno mengi wako watakaokushauri hapa kama mm bestito wa ukweli na wako watakaokuenjoy pia tambua hilo bestito samahani kama nitakuwa nimekukwaza hapa ni ushauri tu

hakuna binadam chini ya jua aliye mkamilifu hata kidogo..yawezekana nilimkwaza mwenzi wangu kwa namna moja au nyingine.. Lakini nakiri itakuwa bila makusudio ya kumuumiza..labda kwa bahati mabaya.. Na nilikuwa mwepesi wa kuomba msamaha....nasema yawezekana nilimkosea bila kukusidia( kwasababu katika makosa ya wazi wazi sikuwahi kumtenda hata moja....( sikuwahi kumtukana hata nyokoo,sukuwahi kumsukuma japo kwa ukucha..ingawa alikuwa akinihamakisha kwa maneno mpaka..ila nilikuwa nampuuza na kuondoka zangu)..sikuwahi kumwendea kinyume...napale alipokuwa na mashaka na mienendo yangu niliweka wazi kila kitu(simu yangu,angeweza kuipekua hata na kukaa nayo apendavyo namimi haikuwa shida kwangu)..! Nadhani dhambi kubwa niliyomtendea tena bila kukusudia ni kutokuwa na kipato kinacholingana na hadhi yake..( maana siku zote umvi wetu ulikuwa huo,,, kwanini hatuendelei,..kwanini hatuwezi kununu gari kama wanaume wenzio,kwanini huwezi kujenga nyumba kama wanaume wenzio? Na ukumbuke pato langu yeye ndiye alikuwa mpangaji wa matumizi..nini kinunuliwe nini kisinunuliwe..! Nakiri kuwa ktk upande wa kipato sikutimiza ndoto zake za magari na majumba mazuri..lakini nilikuwa nikijitahidi na nikimweleza kuwa avute subra..maana tumo tunatafuta..>!
 
Ahsante mpendwa kwa mawaidha yako mazuri..Lakini ungepitia comments zote ungenishauri tofauti na unvyonishauri sasa.. huyu bibie ameshindikana na mimi sipo radhi kuumiza moyo wangu kwa miaka mingine mingi kama Mungu atanijalia uhai...(Nachelea kuja kumpasua nikatenda dhambi nisiyo jiandaa kuifanya..! kwa maneno yake ya kejili na ufidhuri ambayo niliyavumilia mpaka alipo amua kukimbia mwenyewe)( Miaka 8 tangu aondoke hizo juhudi zote ulizozitaja zilikwishafanyika na ikashindikana..Mbaya Zaidi ni kwamba yeye ni Mrs "CLEAN" mimi ndio mwenye matatizo yakutopambana vilivyo kama wanaume wengine wanaopambana wakawapatia wake zao magari na majumba mazuri(Labda niendelee kupambana kivyangu..Nikishapata majumba mazuri na magari ndio ni mfuate nibembeleze)....Nadhani sipo tayari kufanya hivyo...!
Pole mwaya ila ninakushauri ongea naye mkeo vizuri muulize ni kitu kimemfanya aondoke kwako na kitu gani ambacho kimemkwaza mpaka mmeachana, uenda kitakua ni kitu kidogo tu, kama atakwambia utajua namna ya kufanya ila kama la basi unabudi kuwaita wale wasimamizi wenu wa harusi ukaawashirikisha jambo hilo kisha maamuizi toka kwao yatatatua hilo tatizo lenu au nenda kwa yule aliyewafungisha ndoa mwambie na amwite mkeo awapatanishe usipende kujianika na kukimbilia hapa ili kupata msaada hautakusaidia cha kufanya kwani mmeshazaa watoto hivyo niyie kama wazazi inabidi mpatane na muwalee watoto wenu katika kicho chema cha mungu huo ndo mpango mzima bestito usitake kukurupuka na kutafuta mwanamke mwingine wa kumuoa ilihali unaye aliyewako wa mwanzo ongea naye jua ni tatizo gani kama itashindikana basi utaamua cha kufanya kuliko kuja hapa na kujieleza maneno mengi wako watakaokushauri hapa kama mm bestito wa ukweli na wako watakaokuenjoy pia tambua hilo bestito samahani kama nitakuwa nimekukwaza hapa ni ushauri tu
 
Nina hofu ya MUNGU tu.. Na ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki....Kutofanya hayo yoyote ni misimamo tu na hulka ya mtu( Mfano Kunywa na kuvuta sikuwahi kufanya hivyo tangu nikiwa mdogo..Kuhusu mambo ya "utamu" ni malezi( Nawashukuru wazazi wangu wapendwa sana.. Hakika walinilea vyema....Na mtu anayejitambua "mautamu" yasiyo na mpangilio siyo dili..! Na hasa Zama hizi za Magonjwa...ni shiiiiida!!!!
Umeokoka mana umesema hunywi pombe wala huvuti sigara? Wala kufanya mchezo mchafu?
 
Nina hofu ya MUNGU tu.. Na ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki....Kutofanya hayo yoyote ni misimamo tu na hulka ya mtu( Mfano Kunywa na kuvuta sikuwahi kufanya hivyo tangu nikiwa mdogo..Kuhusu mambo ya "utamu" ni malezi( Nawashukuru wazazi wangu wapendwa sana.. Hakika walinilea vyema....Na mtu anayejitambua "mautamu" yasiyo na mpangilio siyo dili..! Na hasa Zama hizi za Magonjwa...ni shiiiiida!!!!

I could sense either ni sabato au die hard catholic.
Pole kwa maswaiba ila sidhani kama kutafuta mtu mtandaoni ni wazo jema, Je katika shughuli na kazi zako, kanisani, majirani, uliosoma nao hauna network unayoweza kupata rafiki? Pili usikimbilie kutafuta mpweke au your description says- do want a desparate person uanze kazi ya kudeal na hizo desparation. Wewe jiweke huru kuwa unatafuta rafiki atakayekuelewa , dont be desparate kupata mke right away --wacha mambo yaflow automatically.
Otherwise unarisk kupata mke ambaye ni desparate kuolewa na hakutakuwa na urafiki nae. Si umeona baadhi ya ndoa ni mke na mume wapo tu hamna intimacy wala urafiki wa kusema huyu namtemgemea hata nikiteleza kabla hajanihukumu atanielewa udhaifu wangu?
All the best mkuu
 
You have sound of Wisdom...! Thanks alot!! Thank you again and again for your great comment ever!!
I could sense either ni sabato au die hard catholic.
Pole kwa maswaiba ila sidhani kama kutafuta mtu mtandaoni ni wazo jema, Je katika shughuli na kazi zako, kanisani, majirani, uliosoma nao hauna network unayoweza kupata rafiki? Pili usikimbilie kutafuta mpweke au your description says- do want a desparate person uanze kazi ya kudeal na hizo desparation. Wewe jiweke huru kuwa unatafuta rafiki atakayekuelewa , dont be desparate kupata mke right away --wacha mambo yaflow automatically.
Otherwise unarisk kupata mke ambaye ni desparate kuolewa na hakutakuwa na urafiki nae. Si umeona baadhi ya ndoa ni mke na mume wapo tu hamna intimacy wala urafiki wa kusema huyu namtemgemea hata nikiteleza kabla hajanihukumu atanielewa udhaifu wangu?
All the best mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom