Duh! Miaka nane without kwichikwichi c mchezo!
Ha ha ha ha aa umenifurahisha sana but mie mlo mmoja naweza coz asilimia kubwa ya maisha yangu nimeiwekeza katika kufunga na kuomba.
duh! we mwanaume kama malaika vile! mlo mmoja kwa siku si ishu kama uko balansdi. asubuhi na mchana ntadowea kazini, watoto watakula mihogo shuleni. pa kulala je?
Kwi kwii kwi...
nhi hi hi hiii hiiiiii
Labda itakuwa haisimami
Hahaa si kweli,,unadhan mleta mada anakula mlo mmoja kwakupenda kama wewe? Hali ngumu na nyinyi mabinti wa siku izi wanaume wa aina hii kwenu ni sheedaah...
Labda itakuwa haisimami
Umekosa mwanamke wa kumtongo.za uko mitaani?
Sikuja kutongoza wala kutafuta MALAYA hapa...>!!! Huna kitu cha kuchangia unaweza kusonga mbele!!
Kwani malaya ndo wanatongozwa au uyo unaemtafuta humu hutomtongoza??
Mengine unapotezea tu au unasamehe bure kukàa kimya nalo ni jibu.napenda unabyojibu hojaMimi nimemuelewa vyema mtoa "comment" na nika mujibu inavyostahili..Sasa wewe sijui umenielewa vipi..Hapa mtu anajipima mwenyewe kama anaweza ku-cope na mimi..( Mtaani siwezi kupata muda wa kumfuata mwanamke mmoja baada ya mwingi(hujui ni mke wa Mtu, malaya, au kahaba na kuanza kumueleza matatizo yako....Nadhani tumeelewana..UNLESS huwe unajingine la ziada tofauti na hili..Ahsante na ubarikiwe sana!!