- Thread starter
- #21
Mimi Ngono Kwangu si kipaumbele hata Kidogo..!( Niliwahi kufanya mapenzi kwenye uteenager mara2 tu--Kati ya miaka 15-25 nilipo oa...Miezi sita ya mwanzo baada ya mahusiano kuvurugika nilipata shida kidogo mpaka nikajaribu punyeto kama mara 10 ndani ya miezi hiyo 6 ya mwanzo..Baada ya hapo nika-Stable" Sijawahi fanya huo mchezo tena .. na niko poa tu..!(Kuvuta sijawahi tangu nimezaliwa).. Pombe nimewahi zile za kitoto(Maana nimezaliwa kijijini na tulikuwa tunatengeza pombe za kienyeji) Nadhani kwenye umri wa miaka 12 hivi ndio niacha kunywa Pombe.. Na sitarajii..!
miaka 8 huja do, pombe hunywi? kuna watu wana roho ngumu, kwahiyo maisha umeshayapata yote? wasubiri watakuja hao ambao siku wakikupa utajaza ndoo ya sha.hawa