Natafuta mwanamke bikira

Natafuta mwanamke bikira

Bikra ya eneo gani tafadhali
Miaka 19-26???
Hata huko Uarabuni huwezi kupata bikra kwa miaka hii.
Umri wa 19-26 kati ya wanawake 50,000 wenye bikra ni 2 tu.
Almost impossible
Mkuu nafanya kubahatisha tu. Nisipopata potelea mbali ila angalau nilijaribu kumtafuta ili nisijilaumu sana mbeleni.
 
Kila la heri Mkuu, ila ni Wanaume wachache sana tuliobahatika kuoa Wanawake bikra.

Miaka ile ya zamani ilikuwa kawaida kuoa binti wa miaka 25 alafu ni bikra, lakini sio zama zenu hizi ambapo unakuta binti anaondolewa bikra akiwa shule ya Msingi huko.
Nilichogundua mi ni kijana kiumri ila kwenye mapenzi nina mentality ya vijana wa miaka ya 80s na 90s. Kama sio bikra sitooa kamwe.
 
Unataka bikra ipi tukusaidie!
Matundu ni mawili kwa sasa.
Na je unataka bikra ya context ipi!
1. kuna bikra ya kutoingiziwa uume tangu kuzaliwa lakin tundu ni kubwa na nyonyo fenesi.
2. Kuna bikra utando yani net haijachanika na ndo hutoa dam day one.
USHAURI
Usipende kuajiri walioko internship taasisi yako itayumba watakapoanza kufanya explorations za kidadisi 'uzoefu ni ufanisi'
Natafuta huyo no. 2 mkuu
 
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Mwanamke bikra aijue Jamiiforms!? .... Utakuwa unaota!!!
 
Nilichogundua mi ni kijana kiumri ila kwenye mapenzi nina mentality ya vijana wa miaka ya 80s na 90s. Kama sio bikra sitooa kamwe.
Hongera kwa kuwa na hiyo mentality, ila nakupa pole kwa maana unaweza kujikuta umezeeka pasipo kumpata huyo Mwanamke Bikra.

Zama zimebadirika Mkuu
 
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Njoo nikupe connection. Kuna pisi ina 21 years ameahidi kunitunuku wiki ijayo ila anasema hajawahi kabisa so nijiandae na hiyo situation namna ya kumuandaa asiumie. Nipe dau lako nikuachie uwanja by the way mm napiga nasepa, kama vp nikuachie jumla kabisa nikahangaike na migume gume na masingle maza yaliyokubuhu
 
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Wewe mwenyewe bikra?
 
Unatafuta bikra jf unaumwa mkuu?😂😂😂😂
Ok, hebu ongea vizuri na Amehlo
 
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Kuna mmoja nimemuona ame-like angalia katika walio-like alafu ruka nae, utanishukuru baadae huyo ni Bikra
 
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Kwa umri huo umpate bikra!! Hauko serious mkuu. Kwa siku hizi hao hawapo mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom