Natafuta mwanamke bikira

Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Nimeamua kumtafuta humu na mtaani pia namtafuta hivyo msije kusema domo zege sijiwezi, hapana na wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Yupo namfahamu mmoja anadaigi ye ni Bikra ila tetesi ni kua ashachoropoa mimba kadhaa, ziliingiaje kama ni Bikra, mi sijui.

Nitakuunganisha nae
 
Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.

Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.

Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)

NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
Kuna Tom-boy bikra Vipi utamkubali?
 
Bikra wa nini 2024, au ni masharti ya mganga?
 
Unaweza kwenda shule ya msingi yeyote lakini uanze kuangalia Darasa la 3 kushuka chini....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom