Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.
Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.
Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)
NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali hahaaaaaa