Natafuta mwanamke bikira

Natafuta mwanamke bikira

Noana huu uzi umeuletwa ili kudhihaki binti zetu!
Nadhani ungefanya jitihada ya kubandika matangazo kila mkoa au ukalipie matangazo katika vyombo vya habari,redio na TV, magazeti nk
Naamini utampata!
 
Kila la kheri mkuu, ila ukikuta mwanamke anafahamu kitu kinaitwa DM au PM kwenye mitandao ya kijamii hapo jua bikira unaweza ukaitafuta kwa tochi ama ukapewa stori kuwa ilizibuka akiwa anajifunza kuendesha baiskeli
Uzuri hii kitu haina siasa, akianza kusema ilitoka kwenye baiskeli tayari kigezo kikuu kimemkataa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]bikira aliyemaliza form 4,Karne hii?hamna,labda darasa la Saba,na hapo atakuwa hata kuandika jina lake hawezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo umeamua kunikatisha tamaa? Sawa bhana ngoja nijiunge na wale wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom