Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,357
- 12,305
Nenda zenji utwapata , ila majicho nasikia yanakuwa yashafumuliwa
😀😀😀😀si unafki ndo umekuchekeshaNimecheka sana sijui kwanini😂😂😂
Huna kwenu?Habari,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kigezo kikuu awe mwanamke bikira na vya nyongeza ajue kusoma na kuandika (akiwa na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea itapendeza zaidi), dini yoyote na umri awe kati ya 19 na 26, asiwe mfupi, awe na muonekano wa kuvutia, akiwa Dar itapendeza zaidi.
Mimi ni mkristo, miaka 30, muajiriwa sekta binafsi, elimu yangu ya digrii, mrefu wa wastani na naishi Dar Es Salaam.
Njoo DM (hata kama si wewe ila una ndugu au rafiki mwenye hivyo vigezo nilivyovitaja unaweza kutuunganisha.)
NB: Wale wa kataa ndoa endeleeni kukataa fainali uzeeni.
SikushauliHabari,

Kwani umeisha pata jike bikra? Maana ulikuwa unatafuta nimekupa muongozo ila naona unajikataaNdo mzuri sasa huyo mnakua wapenzi afu washikaji.
Aione dronedrake 😅😅😅NAKAZIA HAPA kuna mbwa mmoja leo wenzangu wanafungua mabox ya zawad mimi nafungua mabox ya azuma
Njoo tuishi ni haramu kwa mujibu wa maandiko, jitahidi upate atakayekufaa uende naye Church ama Msikiti uoe kiharaliHakuna shida nitavuta "njoo tuishi"
Wewe mhuni sanaSawa nikienda Gym nitamueleza maana tunakutana gym anabeba vyuma
Mkuu ndo uniwekee dau silid ambayo hatujuhi kama kweli ipo. Vipi nisipoikuta na ushakula ela yangu?Njoo nikupe connection. Kuna pisi ina 21 years ameahidi kunitunuku wiki ijayo ila anasema hajawahi kabisa so nijiandae na hiyo situation namna ya kumuandaa asiumie. Nipe dau lako nikuachie uwanja by the way mm napiga nasepa, kama vp nikuachie jumla kabisa nikahangaike na migume gume na masingle maza yaliyokubuhu
Hongera sana mkuu kwa kumtunzia mumeo. Vipi hauna mdogo wako aliefuata nyayo zako?Mwanaume aliyenioa baba mtoto wangu alison, Baba Alison bikra aliitoa kabla ya siku yenyewe ya ndoa, so wakaifutilia, Baba Alison alijingata aka mwaka dam yake kwenye shuka.
Nilicheka sana. Nikamwambia hubby dam ya bikri inajulikana, ikabidi nijijeruhi ukeni kwangu, jamaa aliitoa mwenyewe siku za nyuma huko. tena wkt huo nilikuwa mjamzito
Kasoro ipi kuwa muwazi alafu pia hamna mtu asiyekuwa na kasoro hata wewe hapo lazima unakasoro zakoHuyo unaenipa ana kqsoro simtaki aisee
NoHongera sana mkuu kwa kumtunzia mumeo. Vipi hauna mdogo wako aliefuata nyayo zako?