Wapi nitapata Mwani?

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Ndugu zanguni, Nilikuwa natafuta Mwani wa bahari, wapi naweza pata ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Asanteni sana mkuu.

Screenshot_2024-01-10-20-46-05-906_com.android.chrome.jpg
 
Tafuta ule mwani wa asili ulioota wenyewe tu na sio huu wa kulimwa. Utakuja kunishukuru baadaye!

Wa asili una mawe sana tofauti na huu wa kulimwa. Wa asili una madini yote na ukiutumia matokeo yake utayaona immediately tofauti na huu wa kulimwa. Na kama unaweza nunua wenyewe utengeneze mwenyewe usinunue uliosagwa tayari au jelly.
 
Mwani ndio nini jamani?
HAMNA UGONJWA WOWOTE UTAISHI MWILINI UKITUMIA VIZURI HUU MMEA "SEAMOSS/MWANI".HUU MMEA UNA SIRI KUBWA YA KUPAMBANA NA CHANZO CHA MAGONJWA KATIKA MWILI WA BINADAMU.

↓ ↓↓SOMA KWA MAKINI↓↓↓

Ukitumia vizuri mwani/seamoss kama moja ya vyakula katika ratiba zako za mlo hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako.Mwani una madini mhimu 92 na mwili wa binadamu unahitaji madini mhimu 102,mwani una kiwango kikubwa cha madini kwa pamoja kuliko mmea wowote DUNIANI na ulianza kutumika kwa tiba toka Karne ya 18.

SIRI YA CHANZO CHA MAGONJWA NA KAZI YA MWANI/SEAMOSS KATIKA KUZUIA MAGONJWA

Katika tafiti za wakongwe wa tiba za asili wamebaini kuwa kamasi/mucus na asidi/acid mwilini ndio sababu kubwa ya mazingira ambayo husababisha vimelea vya magonjwa kama virusi,bacteria nk kuishi na kusababisha magonjwa mbali mbali katika mwili.Moja kati ya kazi kubwa na mhimu ya mwani ni kuondoa hali ya ukamasi/mucus mwilini na kuondoa hali yoyote ya chanzo cha uvimbe ambavyo ndio sababu kubwa ya magonjwa.Mwanj una kiwango kikubwa cha madini ya Iodine ambayo husaidia kuondoa hali yoyote ya ukamasi ambayo hupelekea magonjwa mengi.Kiuhalisia ukiweza kuweka mwili wako uwe na kiwango sahihi cha alkali na kuondoa mazingira ya ukamasi na acid basi hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako,katika mimiea na vyakula mwani umekua na kiwango cha juu na sahihi cha alkali ambayo huuweka mwili katika hali ya alkaline na kuzuia vimelea na uvimbe wowote unaweza kujitokeza na kusababisha magonjwa.

**MWANI/SEAMOSS

Ukitumia vizuri mwani sababu ya kifo kwako itabakia kuwa umri,ajali,kupigwa risasi na sababu nyingine Au Qadari tu ya Allah ila sio magonjwa,hamna ugonjwa utaishi mwilini mwako.

KAMA UNA MAGONJWA YAFUATAYO AU KAMA BADO HUJAUMWA UNAWEZA KUTUMIA KAMA KINGA NA UTAISHI BILA HAYA MAGONJWA

1.CANCER
2.PRESSURE
3.ASTHMA
4.KISUKARI
5.TEZI DUME
6.MAGONJWA YA MOYO
7.MAGONJWA YA AKILI
8.lEUKEMIA-kansa ya seli nyeupe ya damu na uboho wa mifupa
9.MATATIZO YA KUVURUGIKA KWA HORMONES KWA WANAUME NA WANAWAKE
10.MAGONJWA YA TUMBO
12.MATATIZO YA MACHO

FAIDA ZAIDI ZA MWANI/SEAMOSS
1.Husaidia mmeng'enyo wa chakula
2.Chanzo cha madini mhimu katika mwili
3.Husaidia afya ya viungo na kuondoa uvimbe
4.Husaidia kupunguza uzito
5.Husaidia kutuliza AKILI
6.Husaidia kuimarisha afya ya ngozi na nywele
7.Husaidia kuzuia kansa
8.Huimarisha Kinga ya mwili
9.Husaidia kuzuia magonjwa ya moyo na pressure
10.Huzuia kufa ganzi mwilini
11.Huondoa sumu mwilini
12.Hupunguza msongo wa mawazo katika ubongo
13.Huongeza nguvu mwilini
14.Husaidia afya ya ubongo
15.Husaidia afya ya macho
16.Husaidia kupambana na kuzeeka (Anti-aging)
17.Huzuia magonjwa ya mfumo wa upumuaji kama asthma
18.Hutibu vidonda na makovu

UPATIKANAJI WAKE

Unapatikana ukiwa kama mmea halisi Maeneo mbalimbali nchin ila Fawzaan tiba asilia imekurahisishia namna ya kuupata ni kwamba upo Ofisini kwetu ukiwasiliana nasi kwa namba hapo chini utaupata kwa bei rahisi sana

MATUMIZI
Mmea halisi unaweza kutafuna moja kwa moja na unaweza kuuchemsha vyema na ukanywa maji yake kikombe kimoja asubuhi na kimoja jioni n.k

Kuupata mwani Original na halisi unapatikana Ofisini kwetu Tandika Standi ya Basi za kwenda tabata Mwani Robo ni sh.10,000 tu

KWA USHAURI ZAIDI UNAWEZA KUPIGA SIMU AU KUTUMA MSG WHATSAPP AU KAWAIDA SIMU NO 0783793916

FAWZAAN TIBA ASILIA FIKA TANDIKA STENDI YA BASI ZA TABATA
 
Copy and pest
 
Back
Top Bottom