Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
- Thread starter
-
- #121
NINA SIFA ZOTE HIZO LAKINI MI NI MFUPI ZAIDI YA JOTI......ha ha ha ha wanawake bwana sasa urefu unakuongezea nini katika maisha yako...au unene wa mwanaume unapunguza jinsi ya yeye kukupende.Mapenzi ni moyo wa mtu si maumbile hizo ni tamaa
kila mtu ana choice yake..ata ww uliuliza hilo swali una choice yako so usijifanye kuna jipya apo
U r not serious
get a life yourself n mind your business.!at this point ur opinion doesnt count.!umechelewa...stop the blah blah blah..acha kua ka mwanamke..
my dear una high temper, juribu kuicontrol sabab hata hiyo ndoa inayotaman kunawakati utamzoea mwenzio na kuna wakati atakukera lazima my dear with your temper you will go no where na mumeo just because hakuna mwanaume anayestand that kind of temper. halaf pia uko na principle audit urself ukiona ninachosema ni kweli change for the best so as to have best huby.
get a life yourself n mind your business.!at this point ur opinion doesnt count.!umechelewa...stop the blah blah blah..acha kua ka mwanamke..
you can see youself how this woman is too immature and stupid to live with a real man...kama kuna mwanaume naye atamchukua ili amuoe naye hajitambuimy dear una high temper, juribu kuicontrol sabab hata hiyo ndoa inayotaman kunawakati utamzoea mwenzio na kuna wakati atakukera lazima my dear with your temper you will go no where na mumeo just because hakuna mwanaume anayestand that kind of temper. halaf pia uko na principle audit urself ukiona ninachosema ni kweli change for the best so as to have best huby.
you can see youself how this woman is too immature and stupid to live with a real man...kama kuna mwanaume naye atamchukua ili amuoe naye hajitambui
chema chajiuza kibaya chajitembeza...na kama umepa mwanaume wa kuchukua mwanamke kuoa mtandaoni wote ni MABOYA
Muombe Mungu dada angu Mume mwema anatoka kwake yeye Muumbaji. Kwa kifupi unaonyesha umechoshwa na wanaume umejuaje kama wewe ni mwaminifu? Usiangalie kibanzi wakati una boriti.
mkuu kulikuwa na ulazima gani kuanza kumtukana dada wa watu? au ndo ugensta pori! maana nikiiona avatar yako na signature na matusi yako nikiviconnect.you can see youself how this woman is too immature and stupid to live with a real man...kama kuna mwanaume naye atamchukua ili amuoe naye hajitambui
you can see youself how this woman is too immature and stupid to live with a real man...kama kuna mwanaume naye atamchukua ili amuoe naye hajitambui
mkuu kulikuwa na ulazima gani kuanza kumtukana dada wa watu? au ndo ugensta pori! maana nikiiona avatar yako na signature na matusi yako nikiviconnect.
unajua kaka umekuwa too hash kwa mdada wa watu.
kila mtu ana akili mkichwa kwa kiasi chake na kila mtu ni mzuri machoni kwa mwenyewe(beholder) kila mtu ana mapungufu yake na manyoofu yake, hilo naamin unakubaliana nami.
mwanaume atakayekuwa nae hawezi kuwa hajitambui, anavyo alivyopenda kwake, ukweli wengi hatuamini mapenzi ya kupitia mitandao bt kuna jamaa mmoja mkewe walikutana facebook tena ktk style ya kiivyo..... jamaa alimtaka binti akamkubali wakaendelea kuwasiliana, binti alikuwa anaishi iringa jamaa dar, siku ya siku binti kaja dar jamaa kagonga binti akarudi iringa, kumbe binti alipata mimba mambo yakaendelea yalivyoendelea hadi sasa ni mke na mume tena ndoa ya kanisani with happy family.
Ushauri; tusimtukane dada wa watu sababu hakuna jambo lisilo na sababu.