Salama Jay
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 131
- 68
- Thread starter
-
- #81
kuwa makini sana Salama Jay humu kuna matapeli wa kila aina.
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..i need a serious man..am 23,mhaya na ni mnene kidesign..shepu ya kihaya to be precise..ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!i might not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..kazi kwenu serious men..PM me..
Kwa wale mlioitikia wito am so grateful..Ntajaribu na kujitahidi kuwajibu wote please naomba muwe wavumilifu..lakini at the end of the day..mume ni mmoja.!
Mpenzi vip tena???
I nid a tall man mweupe au maji ya kunde..,awe mwaminifu,anayejali na hapendi uongo kama mim coz nachukia lies kwakweli..awe outgoing,smart and responsible..
sasa mchujo utakuaje?? si itabidi udate na kila atakae kuPM?
Hapo ndo kazi.....sijui ntafanya nin.!ila kuna baadhi jinsi anavyojibu tu..unajua kama yupo serious o not..
what about eyes??
Kila la heri binti.
hzo sifa kama ni zako weka picha (na uipige ukiwa umeshika ua mkono wa kulia) tudhibitishe ukweli wako..
they used to say eyes never lie, u can tell if someone is lying or not by looking at his/her eyes!! n besides doesn't appearance matters to u?Eyes..sijakuelewa.!
Mapi sasa...unataka picha ya nin wakati huna haja ya mke?
Kama nimebweka kwa maandishi na ww ukaelewa..basi nawe ni mbwa.!