spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Nipo haoe ni on inboxHabari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
NipoHabari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.

๐๐๐Kwahiyo tunaamisha majeshiNgoja nikomae tu na mtoa mada miminash ๐ ๐
Tushawahi kukuona ๐๐๐๐๐ mna uhakika gani? kama mimi siyo jitu la miraba minne?
Dah iv mnawazaga nini? Umenifanya mpaka nimepaliwa na konyagi hapaIli uje umtese, ku mcheat, na kumtumia, Kaa mwenyewe tu hivyo hivyo
Kipotabo Kila mtu apende moyo wake unapoangukiaKila la kheri ,miaka 25 una kilo 50? Ongeza mwili huo.
Ananifaa huyoNakuombea
Dah iv mnawazaga nini? Umenifanya mpaka nimepaliwa na konyagi hapa
Ndiyo mnavyojidanganya?Tushawahi kukuona ๐๐๐
Kama upo tayar kuwa wa pili karibu.Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
Ila JF kwahiyo una mzuzu kamanda ๐๐๐Ndiyo mnavyojidanganya?
Unazingua๐คฃ๐คฃ๐คฃโ ๐ ๐ฐ๐ถ ๐ค๐ข๐ฏ'๐ต ๐ด๐ฆ๐ฆ ๐ต๐ฉ๐ช๐ด ๐ค๐ฐ๐ฎ๐ฎ๐ฆ๐ฏ๐ต ๐ฃ๐ฆ๐ค๐ข๐ถ๐ด๐ฆ ๐บ๐ฐ๐ถ ๐ข๐ณ๐ฆ ๐ถ๐ด๐ช๐ฏ๐จ ๐ข ๐ค๐ฉ๐ฆ๐ข๐ฑ ๐ฎ๐ฐ๐ฃ๐ช๐ญ๐ฆ ๐ฑ๐ฉ๐ฐ๐ฏ๐ฆ