Natafuta mume

Natafuta mume

miminash

New Member
Joined
Jul 12, 2025
Posts
1
Reaction score
18
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.

Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.

Asanteni
 
Kila la kheri ,miaka 25 una kilo 50? Ongeza mwili huo.
 
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.

Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.

Asanteni
Nakuombea
 
Kwani Mungu ndio nani?
 
Kila la kheri dada, Mungu awe nawe, hapo kwenye dini muhimu upashike , usije kudanganywa na wa dini zengine
 
Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.

Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.

Asanteni
njoo inbox tuyajenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom