Natafuta mume wa kunioa

miaka 34 - 40 hajawahi kuoa wala hana mtoto, atakuwa either infertile or impotent, all the best.
 

Kama ana apply kazi vile duuu utakuwa unatoa mshahara wa shilling ngapi maana kama huko nitakuwa nafanya part time.Huwezi kumtafuta mume kama unatangaza tender ya kumilikiwa.
 

Mi sifa zote ninazo ila sija ajiriwa .....nimeajiri watu....naona nimekukosa kidogo...
 
kamata atakujibu kwa hili
 
Najua value yangu Mkuu.Na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.Nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.Ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.
Aiseee kikuria zaidi..
 
Nimekubali kweli wewe ni wiseboy..unaona chagua chagua inavyoleta shida..
 
Wewe ni malaya?

Dah kwanini umeniuliza hivyo mkuu? Kwanza kwa namna ninavyokumbuka Malaya ni mwanamke mwenye wanaume wengi na haiapply kwa wanaume. So labda unitafutie jina jingine
 
Weka umri wako hapo alafu. masters in what isije ikawa theology? Changamka niku PM
 
Najua value yangu Mkuu.Na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.Nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.Ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.

unazungumzia "value" ipi hiyo unayoijua wewe pekee, isiyoonekana kwa wanaume mpaka mileage zinasoma kiihivo, bado tu huna wa kukuoa?
 
dada unataka mwenye master kama yako?duu!ukimpata mie najitoa jf,maana wenye master tayal wana watoto
 
Sielewi kwanini watu wapo so rude na huyu mdada,yeye katoa vigezo vya mtu anavyotaka kama huna pita kimyakimya,kwa umri alokuwa nao amepevuka na anajua anachotaka sio mtoto wa form 2 hata mavuzi hayajaota vizuri….Na swali jingine la chapchap unafikiri na elimu alokuwa nayo angelikuwa na umri gani?Mnaharibu sifa la jukwaa hili…and i doubt if you are really wise!!
 
Mbona wewe hujaweka umri wako?
 
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya

SIFA ZANGU
  • Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
  • Sinywi wala sivuti
  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Mkristo
  • Rangi mweupe wa wastani
Mamito kama wewe una Masters Degree basi haijakusaidia kitu bado tegemezi kama mama wa nyumbani, yanini kukomalia uchumi wa mtu mwingine, eti asiwe bahili.....
 
kwa umri wako dada angu na masharti uliyoweka cdhani kama itakuwa rahisi ivo kumpata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…