Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Mpendwa m/mungu atakujalia kumpata umtakae lkn kwamtazamo wangu ww unatatizo inakupasa ubadilike utafanikiwa
 
Mpendwa m/mungu atakujalia kumpata umtakae lkn kwamtazamo wangu ww unatatizo inakupasa ubadilike utafanikiw(kibur&dharau
 
Ninacho kushaur mpendwa jaribu kubadilika utampata umtakae na mtadumu ktk ndoa niona mm elimu ulionayo imekubadili kitab
 
Mie sifa zote ninazo ila sina dini japo ninatambua uwepo wa Mungu na ninahofu ya Mungu
 
Pm zen futa hii thread
Ina maana wewe umeshamkubalia hivyo asiendelee kupata wengine? Positive woman ukiganda na huyu anaweza kuwa dominat kwako, keep on looking usistick na huyu tu.
 
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
6. Umri 30-40

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.

Asanteni.
Aslkm, mimi nimekutumia email lakini haiko ective je sasa nakupa take? Kama bado haujapata nitumie ujumbe kupitia email :topmoneytz@yahoo.com.

Kind regards
Really Muslim
 
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
6. Umri 30-40

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.

Asanteni.
Dada tatizo email yako haiko hewani weka email nyingine au nambari ya Simu, wanaokuona wewe ni mjinga achana nao do what you reach
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom