Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
6. Umri 30-40

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.

Asanteni.
Kandele ni PM tuongee zaidi
 
Unanyapu kavu au swimingpool ?
Dah!samahan km ntakuwa nimekukosea ndg...ila ingekuwa amri yng watu km ww nisengependa muwepo humu jf.. Kwn ww ni mpumbavu wa kwnza
 
30yrs!;Wewe ushazeeka tayari.Uliibania mno;Halafu hiyo ya kubagua dini ndio kabisaaa ishakukosesha Mme coz mwanamke hana dini ni wa wote.
Vuta subira mungu atakupa mwenyevigezo unavyo taka kikubwa vuta subira na muombe mungu sana maana tumeambiwa innallah maaswabirina
 
Naamini kwenye ndoa, Na ndio maana at that age nimekua na mahusiano na mtu mmoja tu na ambaye tulikua kwenye mipango ya kuja kuishi pamoja. Bahati mbaya yametokea yalotokea ndio hivyo tena. Sasa Hata kama nitapata mtu hapa ajue lengo ninini. Sina haja ya just kusleep around then mnamwagana, magonjwa mengi
Wewe ni muongo.

Haiwezekani miaka 30 uwe umegegedwa na mtu mmoja.
Sasa mbona hakupendi tena?
Ukae na mtu miaka kibao na hampendani? Utakuwa ulim cheat.

By the way.
Kama hujapata mtu mimi ni mwalimu wa madrasa . Inshalla njoo nikuoe mke wa tatu
 
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
6. Umri 30-40

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.

Asanteni.
Uko tayari kuwa mke wa pili? Maana hapo dini inaruhusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom