Natafuta mume

1698787803079.png
 
Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu

H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri

Ambae anahivyo vigezo aje pm
soulmate410 andika kwa utulivu au ndio hii mvua imekuchanganya usiku huu mpaka umekuja kuandika haraka haraka humu?

Wewe ni HIV+ na unahitaji mwenye hali hiyo?
Hapo umeweka utata ndio maana wadau wanauliza wewe ulimaanisha nini hapo kwa HIV.
 
Mkuu hebu simama ndyo uandike maana inaonekana umejibanza mahali ukaandika chap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom