Natafuta mume, nimechoka kuwa mwenyewe. Fedha ninazo

Amie whitney

Member
May 21, 2023
78
183
Hi guys,

Babies kwema jamani i'm sorry kwa kuwasumbua na yawezekana wengine mpo mmetulia na umasikini wenu na yawezekana wengine ni majobless

Lengo langu la kuandika hii thread ni kuja hapa kutafuta mume wa kufanya nae maisha maana nimechoka kuwa alone kabisa kwababu kama pesa ninayo ila sasa kuwa single ndiyo shida kabisa

Wasifu
Jina: Elizabeth John Cowel
Miaka: 28
Aina ya mume: Wowote hata jobless
Kuishi: Minnepoalis, St. Luis, London na Arusha Tanzania

Tafadhali nahitaji mume,tafadhali sana wakuu kindly PM me
 
Screenshot_20231002-162345_Quora.jpg

Jidaaaaanganye....
 
Hi guys,

Babies kwema jamani i'm sorry kwa kuwasumbua na yawezekana wengine mpo mmetulia na umasikini wenu na yawezekana wengine ni majobless

Lengo langu la kuandika hii thread ni kuja hapa kutafuta mume wa kufanya nae maisha maana nimechoka kuwa alone kabisa kwababu kama pesa ninayo ila sasa kuwa single ndiyo shida kabisa

Wasifu
Jina: Elizabeth John Cowel
Miaka: 28
Aina ya mume: Wowote hata jobless
Kuishi: Minnepoalis, St. Luis, London na Arusha Tanzania

Tafadhali nahitaji mume,tafadhali sana wakuu kindly PM me
mshamba_hachekwi njoo ujinyakulie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom