Natafuta mume miaka 54-58

Hata aibu huon kachukue wkulima hko kama unamapenz ya kwer

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mzee mwenzangu mara ya kwanza sikutaka kukuambia tu, ni kinyume chake, M inazidi kuwa imara wakati K hulegea.

2Q==
 
Utakuwa umetumwa na sangoma/mganga...au unatafuta urithi kwa watoto wako wapate kihamba angalao...Hunipati ng'ooo,acha nibaki single hivihivi!!
Mwanangu wa mwisho yuko chuo mwaka wa pili ...usiogope mekuuu...by the way sijaja kuomba msaada wa kusomeshewa ...
 
kwanza wewe una watoto wawili?wewe ni mjane?umeachika au ulizaa tu ovyo ovyo?
 
"Mwanamke ni mwanamke" ndo wanaongoza jf kuwa na mawazo ya kijinga. We unasifa gan uweke mashart ya hivyo....,unapotosha,utarudishwa facebook.
 
Mwanangu wa mwisho yuko chuo mwaka wa pili ...usiogope mekuuu...by the way sijaja kuomba msaada wa kusomeshewa ...
Kuwa wazi basi unataka nini zaidi,yaani unachomic unapokuwa mwenyewe kama ni penzi ni jue,maana hayo mengine yatafuata tuu taratibu na unihakikishie usalama maana umri wangu umesonga. Nilivypo invest usijeukaninyang'anya. Halafu wewe mdogo sana sijui kama utaridhika na penzi la uzee huu,usije ukawa unanidanganya. Na kwanini kanisani na msikitini hautaki mae!!?? Umesomea sheria??
 
"Mwanamke ni mwanamke" ndo wanaongoza jf kuwa na mawazo ya kijinga. We unasifa gan uweke mashart ya hivyo....,unapotosha,utarudishwa facebook.
Sasa ndg yangu mie ndio nilokufanya uwe conductor?povu lote la nini?
 
Kuwa wazi basi unataka nini zaidi,yaani unachomic unapokuwa mwenyewe kama ni penzi ni jue,maana hayo mengine yatafuata tuu taratibu na unihakikishie usalama maana umri wangu umesonga. Nilivypo invest usijeukaninyang'anya. Halafu wewe mdogo sana sijui kama utaridhika na penzi la uzee huu,usije ukawa unanidanganya. Na kwanini kanisani na msikitini hautaki mae!!?? Umesomea sheria??
Daaaah kwanza nataka ujue strategy yangu ya kwanza ni Love doesn't ask why? hivyo ndivyo nilivyoamua kupenda na umri naoutaka ni huo,tunaenda kwa area commissioner pale tutawekeane masharti yote khs mali zako na zangu pamoja na watoto wako.khs sharia nilisoma mwaka wa kwanza.
 
Habarini wadau wanajf,mimi ni mwanamama miaka 32 natafuta mume tuoane ndoa ya serikali tuu kanisani msikitini hapana...awe na miaka kuanzia 54 hadi 58 na awe mwajiriwa wa ofisi/shirika la serikali ambaye ni ofisa haijalishi kitengo lakini itapendeza kama ni wale wanaofuatwa na DFP AU STK/STL ambaye hana mke kwa sasa na kama ana watoto wasizidi watatu ili tukichanganya na wakwangu wawili wawe jumla watano.nawasilisha

kisha uwalishe sumu watoto wake wabaki wa kwako na yeye tu. Na akishastaafu umlishe sumu yeye pia. gadem
 
Daaaah kwanza nataka ujue strategy yangu ya kwanza ni Love doesn't ask why? hivyo ndivyo nilivyoamua kupenda na umri naoutaka ni huo,tunaenda kwa area commissioner pale tutawekeane masharti yote khs mali zako na zangu pamoja na watoto wako.khs sharia nilisoma mwaka wa kwanza.
Umri wangu umesonga bhana utanivunja mgongo wangu my dear. Tafuta wa rika lako. Nakutamani lakin naogopa tena, Don't ask why?
 
chezea mbongo ww akaaaa! sijui tumwombe mungu watakutenda maana vigezi hivyo vina utata pole sana lkn tuko pamoja
 
masharti yanaonesha ure money oriented. Ili jukwaa linapoteza dhima yake taratibu. Mwisho mawazo ya fb yote yatakuwa humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom