Natafuta mume jamani mbona sipati

Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu

MUME UMEPATA MAMAA[emoji41] [emoji8] [emoji173]
Eti Mme umepata, haaaaaa Mme mwenyewe unaitwa PNC???
 
Jf raha[emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji15] [emoji15]
 
Tatizo una masharti kama mganga wa kienyeji...ungekuwa ushapata ....punguza vigezo(mashariti)
 
Tatizo una masharti kama mganga wa kienyeji...ungekuwa ushapata ....punguza vigezo(mashariti)
Hata waganga wa kienyeji wamepunguza masharti siku hizi wanaagiza kuku wa kisasa, samaki hata matembele mwache atafute mwanaume mweupe na mcha mungu
 
Andika bango kama yule mzee tanga naamini utafanikiwa BINAFSI sijiwez naishi maseke natafuta wakunilea
 
enzi za mwalimu wanaume walikuwa wanatafuta wanawake enzi hizi wanawake wanatafuta wachumba!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…