Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,533
Keep on dreaming
Duhuuu hiyo michambo ( maneno ya mkosaji)Me nipo
Km hunitaki basi Mchore Chini Unaemtaaka
Hahaahah anafanya masiharaUnataka wangapi?
Nimempata nimpendae
Nicheki pmAwe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Nakwaambia ni pm hutaki, hauko serious kwa kweli,Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Hahaha unamwonaje PNC aiseee hahahaEti Mme umepata, haaaaaa Mme mwenyewe unaitwa PNC???
Minopo tayari Ila napenda na we we uwe bikra na uwe umeajiriwa serikalini na uwe unagari na Nyumba na Pesa nyingi bankAwe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu