Natafuta mume 45-55

Natafuta mume 45-55

Kwa umri wako ilitakiwa uwaze kulea wajuukuu wako
 
Nijibu haya yafuatayo:
Wewe unaishi Mkoa gani?
Wewe ni Kabila gani?

Baada ya kupata majibu haya nitaomba mawasiliano kwa ufafanuzi zaidi
 
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Nina miaka 30, tutaishi kiutu uzima.

Vipi ninakufaa?
 
ha ha hah si ata uyo anaetafta unamtaka mm sijakwama babu subiri nikwame
Huyo simtafuti. Wewe ndio chaguo langu. Bora kinga kuliko tiba. Ni heri uniwahi mapema kabla hujakosa
 
Huyo simtafuti. Wewe ndio chaguo langu. Bora kinga kuliko tiba. Ni heri uniwahi mapema kabla hujakosa
he he mm babu sijakwama subiri nikwame mwnywe nitakutafuta
 
Miaka 42 si bora tu ulee wanao maana hiyo miaka tena uanze kupata stress za mume jamani??
Anahitaji huduma za mwanaume kwa mke lakini hataki kufanya bila kubariki ndoa itakuwa uzinzi au uasherati ambao ni chukizo kwa Mungu. Hataki kujichua wakati wanaume wapo. Anahitaji mtu wa kushirikiana nae kimawazo na siri za ndani kabisa. Kuvua nguo mbele ya mtu mmoja tu wa jinsia tofauti nawe na kucheza kama vile mko na umri wa miaka 3 kunapunguza stress na kuongeza siku za kuishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom