Natafuta mume 45-55

Natafuta mume 45-55

Nampongeza dada amekuwa muwazi sana. Nashangaa bado mnafanya masihara na ujumbe wa dada kuomba msaada. Ukishaoa au kuolewa utamuelewa zaidi muhusika ila kama ni wale serengeti gelz na boys humu mnaolelewa na wazee wanasiasa hamuwezi kuelewa hili suala. (Culprits watakuja kurusha utetezi wao hapa)
Bi dada nakuelewa vema kwenye hili suala lako. Nakuombea kwa Mungu na nakuomba pia suala hili ungeliwekea uzito wa kipekee uliombee wewe binafsi ili Mungu akupatie jibu maridhawa.
Swali la msingi, watoto wako wana umri gani na jinsia zao zikoje? Hili litamsaidia sana yule ajaye kupata picha kamili anakoelekea.
Natumai hutajali kufunguka zaidi.
Mungu akusadie haraka iwezekanavyo. Amen
Aminii
 
Amesema hataki kuongeza watoto kwa hyo hata akikoma hedhi so be it.Unataka akae miaka yote bila muhogo wa jang'ombe?au unataka azini?
Wanataka ajichue na ma dildo wakati waziri wa afya kakataza vilainishi sasa si yatamchubua hayo maplastiki au ya chuma. Dildo aliongei sasa yeye anamtaka mwanaume ambae huku wanafanya yao wanatekenyana sikioni. Mimi ningekuwa na vigezo ningepeleka form ya ugombea PM.
hamna cha dildo wala nn mda si mrefu hapo anakoma hedhi angevumilia tu alee wanae wanaume wenywe nyie msiopenda watto wa wenzenu
Kwa hivyo mwanamke akikoma hedhi anapoteza hamu ya kufanya mambo yetu yale? Mbona huko mitaani tunasikia wamama zaidi ya 45yrs wanafanya mambo yetu yale tena na vijana wachanga?
 
Nimewaza tu

Umewaza kutokana na woga ama nadharia ambazo watu wamekuwa wakizisema kuhusiana na ndoa kutokana na mienendo yao y ahovyo hovyo inayopelekea kuana kwa inconvienences ama tamaa badala ya love.

Huyo mtu amekaa kwenye ndoa na kwa maneno yake inaonekana mauti imemtanganisha na mpenzi wake miaka 5 iliyopita.

Ndoa yake hakuiona stress and ndiyo sababu anatafuta nyingie.
Hata kama anajua upande mwingine wa ndoa, lakin maisha yake bila mme, yamempa picha za pande zote mbili.

Kufika mahala akataka ndoa, ujua amelinganisha kile kinachoonekana ama kusemekana stress za ndoa na stress za upweke, akaona ni bora stress za ndoa kuliko upweke.

Anajua ana chokifanya.

USHAURI WANGU

Mtafutaji ajiangalie asije akadhani wanaume wote tunafanana. Awe amkini kwa sababu anawez akumpata mme ambaye ampe wazo la pili kwamba upweke ni bora kuliko ndoa za stress.

LAZIMA AWE MAKINI!
 
Ubarikiwe
 
Zed123 ninakuona sana humu lakini nashangaa hutaki nijibu maswali yangu. Pengine ili nikutafute kwa undani zaidi nahitaji kufahamu:

Wewe ni mtu wa kabila gani?
Wewe ni wa Mkoa gani?
Ulisema una watoto, ni wangapi?

Ila swali la mwisho nimefanya kama kuliongeza tu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom