Natafuta mume 45-55

Natafuta mume 45-55

Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Mkuu pole kwa kuondokewa na mume
Wengi wanatakuja na matani kebehi na zaidi kukuvunja moyo
Timiza haja ya moyo wako
Umri si kigezo cha kukosa kuolewa tena
Watoto ni faraja yako isiwe kizuizi cha kutimiza haja ya moyo wako
Watakuja wengi tumia busara katika maamuzi yako
 
kuzini upende tu

...Hivi kama alivyokuwa anashauriwa hapa kwamba aachane na habari ya kuolewa, na yeye kama binadamu anahitaji kufanya tendo la ndoa, sasa kama wanamshauri asiolewe utasemaje kuzini ni kupenda??
 
...Hivi kama alivyokuwa anashauriwa hapa kwamba aachane na habari ya kuolewa, na yeye kama binadamu anahitaji kufanya tendo la ndoa, sasa kama wanamshauri asiolewe utasemaje kuzini ni kupenda??
tendo la ndoa lina umhm au ni lzm?
 
Mkuu pole kwa kuondokewa na mume
Wengi wanatakuja na matani kebehi na zaidi kukuvunja moyo
Timiza haja ya moyo wako
Umri si kigezo cha kukosa kuolewa tena
Watoto ni faraja yako isiwe kizuizi cha kutimiza haja ya moyo wako
Watakuja wengi tumia busara katika maamuzi yako
asante
 
Kila LA kheri, kuna zaidi ukiwa na mume kuliko kuishi peke yako. Upweke unauwa mapema kuliko sumu yoyote nakuombea unayotaka yawe zed123
 
-->>WATU WAMEKALIA KINGONONGONO TU / MADAM ANATAFUTA MWENZA NILIVYOMUELEWA ZAIDI NI KATIKA KUSHAURIANA MAMBO MBALIMBALI NA HILI NDILO LA MAANA ZAIDI./ WELCOME MUMMY FEEL COMFORTABLE PLS PM ME./
 
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Niko hapa! Naomba namba
 
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.
Kwanza hongera kama kweli your honnest....karibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom