Natafuta mume 45-55

Natafuta mume 45-55

hamna cha dildo wala nn mda si mrefu hapo anakoma hedhi angevumilia tu alee wanae wanaume wenywe nyie msiopenda watto wa wenzenu
Amesema hataki kuongeza watoto kwa hyo hata akikoma hedhi so be it.Unataka akae miaka yote bila muhogo wa jang'ombe?au unataka azini?
 
Aliye karibu Na mwanamke ndiye Mume wake. ANGALIA Hapo Kwenye mazingira unamoishi, KAZI, kusali kufanya maombi, MAZOEZI nk huwezi kumkosa. Lakini usiyemjua KABISA unaweza kujuta baadaye.
 
Kwa vigezo vyako sijui kama utampata muogope Mungu kwanza usije ukalimit uzao hata Bible yenyewe inasema nendeni duniani mkaijaze dunia kama mchanga wa bahari sasa wewe usie penda kuzaa unatakaa kuolewa utasubiri sana na ba
 
bora unisaidie kusema watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake katika maisha umri huu sio wa kupewa stress na mtu ,pia watoto wanaondoka nyumbani mapema sana wakiingia chuo nabaki mwenyewe home fikiria huo upweke ukoje
Mungu na akujaalie hitaji la Moyo wako...

Amen!!
 
Ungekomaa na watoto... La sivyo utakuja urudi kuomba ushauri
Mtu kashaishi kwenye ndoa sema bahati mbaya mwenzie katangulia mbele ya haki... Tamu na chungu ya ndoa anazijua...

Unamwona hana akili alivoamua kuchukua hii hatua??
 
Nampongeza dada amekuwa muwazi sana. Nashangaa bado mnafanya masihara na ujumbe wa dada kuomba msaada. Ukishaoa au kuolewa utamuelewa zaidi muhusika ila kama ni wale serengeti gelz na boys humu mnaolelewa na wazee wanasiasa hamuwezi kuelewa hili suala. (Culprits watakuja kurusha utetezi wao hapa)
Bi dada nakuelewa vema kwenye hili suala lako. Nakuombea kwa Mungu na nakuomba pia suala hili ungeliwekea uzito wa kipekee uliombee wewe binafsi ili Mungu akupatie jibu maridhawa.
Swali la msingi, watoto wako wana umri gani na jinsia zao zikoje? Hili litamsaidia sana yule ajaye kupata picha kamili anakoelekea.
Natumai hutajali kufunguka zaidi.
Mungu akusadie haraka iwezekanavyo. Amen
 
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila sihitaji kuongeza watoto.

Nitashukuru pia hata mie ukini PM nikusaidie kitu
 
Nampongeza dada amekuwa muwazi sana. Nashangaa bado mnafanya masihara na ujumbe wa dada kuomba msaada. Ukishaoa au kuolewa utamuelewa zaidi muhusika ila kama ni wale serengeti gelz na boys humu mnaolelewa na wazee wanasiasa hamuwezi kuelewa hili suala. (Culprits watakuja kurusha utetezi wao hapa)
Bi dada nakuelewa vema kwenye hili suala lako. Nakuombea kwa Mungu na nakuomba pia suala hili ungeliwekea uzito wa kipekee uliombee wewe binafsi ili Mungu akupatie jibu maridhawa.
Swali la msingi, watoto wako wana umri gani na jinsia zao zikoje? Hili litamsaidia sana yule ajaye kupata picha kamili anakoelekea.
Natumai hutajali kufunguka zaidi.
Mungu akusadie haraka iwezekanavyo. Amen
Nashukuru sana kwa kunipa moyo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom