- Thread starter
- #21
bora unisaidie kusema watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake katika maisha umri huu sio wa kupewa stress na mtu ,pia watoto wanaondoka nyumbani mapema sana wakiingia chuo nabaki mwenyewe home fikiria huo upweke ukojeHoney Faith, umeolewa weye? Mwenzio aliolewa mumewe akatangulia mbele za haki, kwa hiyo anajua chungu na tamu za mume; na baada ya kupima ameona upweke una gharama kuliko ndoa.
Tatizo letu ni kudhani kuwa ndoa zote ni taabu kitu ambacho sio sahihi hata kidogo.
Vv